Hizi apartment zipo 4 kwenye kampaundi moja apartment moja ndio ipo wazi ina vyumba 2 vya kulala HAKUNA MASTER, sebule, jiko na choo cha public maji dawasco masaa 24 bei ni 300k x 6 ipo kimara bucha upande wa kushoto km unaelekea mbezi kutoka main road ni dk 3 tuu kwa miguu
Nipigie 0759787679
Chumba, sebule, jiko, choo na store kila apartment inajitegemea luku yake na mita yake ya maji bei ni 250k x 6, apartment moja ndio ipo wazi ipo kimara bucha kutoka main road ni dk 3 tuu kwa miguu
Nipigie 0759787679