Hujafanya kosa.... kwanini uogope wewe mfukuze Husband akiuliza unasema alikuwa hafai.. simpleJF habari zenu!!
Mwenzenu nina tatizo kubwa sana ambalo tangu nizaliwe sijawahi kukutana nalo.
Nina houseboy hapa home!! Jana wakati tuko shambani kanitongoza/kanitamkia ananizimia na anaweza kunipa raha mno!!
Nimechanganyikiwa sijwamwambia Husband. Najifikiria nimtafutie visa ili aondoke ama nifanyaje maana nikisema aondoke bila sababu husband atauliza sababu nini nini na nitapata kigugumizi.
Nisaidieni tafadhali
Pole sana Desidii,
Naona hayo ni makubwa! Hata hivyo kuna mambo mengi ya kujiuliza. Je, uliwahi umekuwa karibu naye sana kiasi cha kuona kama huna noma? Umemzoea kiasi hicho hadi hakuogopi na kukuheshimu kama boss wake?
Na baada ya kukueleza hayo mambo yake ulimjibu nini?
Nitarudi baadaye nikishapa glucose ya kutosha. Leo naona babu anapatwa na kizungu zungu!
Kitendo cha kujipa nafasi tu na kukalia jambo hilo bila kulifanyia kazi ni kwamba una hisia nae...!..
You have the world of chance to enjoy with him, lakini jua ukigundulika ni kwa mama na baba yako ukiwa na dental formula ya tofauti na ya sasa!
Ha kumbe ana mke!! mweleze mumeo.Mazoea naye sina kwa sana kivile lakini alikuwa akinieleza issue za mkewe kuwa na wanaume nje anataka amuache sasa katika kumshauri ndo akaingiza hiyo mada
Amekuona kuwa unakaa kihasarahasara fulani mbele yake...Yaani mie hata mpango nae sina mume wangu mbona yuko poa sana na tunapendana mno siwezi kumtenda kwa ajili ya houseboy
STUKA! hapo red hilo ni tego tu ambalo wanaume wengi tunalitumia, tunajua nyinyi wadada mnapenda stori za namna hiyo na mnapataga huruma mkihadisiwa. ndo maana mnapenda mamichezo ya kihindi na matamsilia ya isidingo. ripoti hiyo hauziboy haraka sana kabla haijakubaka.Mazoea naye sina kwa sana kivile lakini alikuwa akinieleza issue za mkewe kuwa na wanaume nje anataka amuache sasa katika kumshauri ndo akaingiza hiyo mada
mh! Kwn hapo ttzo nn jaman? Au mm ndo cjaelewa, umestaajab kw vle ni h'boy au? Ina mana hujawah tongozw tka uolewe? Mbna hao wngne hu2uliz? H'boy pia ni bnadam km huyo mumeo soacha dharau
Mazoea naye sina kwa sana kivile lakini alikuwa akinieleza issue za mkewe kuwa na wanaume nje anataka amuache sasa katika kumshauri ndo akaingiza hiyo mada
Amekuona kuwa unakaa kihasarahasara fulani mbele yake...
Kijana kama huyo hawezi kujianzia from nowhere akusemeshe neno kama hilo...
Aidha anajua unapendelea sana mambo ya ngono au kuangalia porno openly na huenda story zako muda wote zinaelekeana kunako maeneo!

STUKA! hapo red hilo ni tego tu ambalo wanaume wengi tunalitumia, tunajua nyinyi wadada mnapenda stori za namna hiyo na mnapataga huruma mkihadisiwa. ndo maana mnapenda mamichezo ya kihindi na matamsilia ya isidingo. ripoti hiyo hauziboy haraka sana kabla haijakubaka.
Sijawahi ongea nae kuhusu ngono hata siku moja na wala time nae sina kivile nikitoka usiku nikirudi usiku zaidi ya kuuliza kuku, ng'ombe, mbuzi wanaendelaje sina kingine