Sijamlegezea hata kidogo labda kama jinsi na tishirt nililovaa shamba ndo kalizimia vinginevyo hajawahi niona nimevaa kanga wala nguo yakuonyesha!!!
sayu Desi..
Dena alienda imboru atarudi kesho lol
mmmmhhh nipe story
house boy ni wale vijana watanashati wenye nywele naisori wa kiiraq
hahahah lol
wewe!! tshrt na jins c unajua inavyopendza? Halaf km inshalah mola kakujalia kasura na kafigure kdgo lazm mkaka wa wa2 adate! Ila mpotezee nje ndan. I mean mfukuze! Aclete mazowea, atamtongozaje boc wke bana??
mmmhhhh huyu hata mie naweza kumpa ushauri kidogo...
lakini yule wa kule si mrembeshei hata kidogo...
mie mambo ya kuchanganya chumvi na maji siya wezi..
vipi na we una mzimia yule house girl wetu wa kiiraqi???hahahah lol
Kasura, kafigure kweli vipo kama waniona vile. Poa nitamfukuza tu ila itabidi kujipanga maana nauli ya treni + Meli mpaka afike huko ni kasheshe kwa kipindi hiki cha Januari na ada zote tulizotoa
Oohh sawa ndo maana nimemtumia PM hajibu kabisa. House boy toka Kulee....................mmhhh naogopa kutaja nisijepigwa ban ya mwaka
hehehe alifutwa kazi, kaiba handbegi ya waifu. natafta mtusi mara hii, watanikoma kijijini.
greti thinka, punguza hasira kidogo. wataalam wanasema hasira za ovyo ovyo zinapelekea marazi ya kisukari.Mpaka hapo wewe mwenyewe hujui nafasi yako katika nyumba yako, ndo maana hboy wako anakuona kama hgirl. Haiwezekani mwanamke anaejiheshim na kushika wajibu wake kama mama wa familia azoeleke kiasi hicho kwa wafanyakazi wake. Sipati picha anaanzaje, na kwanini hujamfukuza ulipona anavunja heshima, unahaki ya kumtimua tena hata mbele ya mumeo, ukiwa mama wa nyumba acha ulegelege bwana wewe.
mmmhhh sema tu hakuna shida
we watu wanafumua kuhusu baba mkwe
hawana Ban..
hautapata sema tu hakuna shida ili mie nianze calculation zangu hahah lol
Mpaka hapo wewe mwenyewe hujui nafasi yako katika nyumba yako, ndo maana hboy wako anakuona kama hgirl. Haiwezekani mwanamke anaejiheshim na kushika wajibu wake kama mama wa familia azoeleke kiasi hicho kwa wafanyakazi wake. Sipati picha anaanzaje, na kwanini hujamfukuza ulipona anavunja heshima, unahaki ya kumtimua tena hata mbele ya mumeo, ukiwa mama wa nyumba acha ulegelege bwana wewe.
Kuna mazingira umemwekea huyo house boy bila kujijua yakampa guts za kukuambia hivyo.......acha mambo ya kumuogopa mumeo,mwambie na your decision should be final kwa kuwa wewe ndo unayepata shida na huyo house boy, wewe ni mwanamke wa namna gani unaogopa kumfukuza houseboy na kujieleza kwa mumeo,kama huna sauti kiasi hicho kwa mumeo kuna tatizo pia.......Stupid,yani mijitu mingine bwana haijioni,unamtongoza bosi wako???......:smash:
AD leo baba mkwe naona imekukera sana??? Pole mwaya ndo utandawazi huo. Kwenye ndizi na senene wengi
Big thanks! Mm mwnyewe mtaalam yan uko thawa kabtha hyu thukar itamuhuthu thiku co nyingi. Kwnza aje nmfanyie vpimo huenda tayar anayo!greti thinka, punguza hasira kidogo. wataalam wanasema hasira za ovyo ovyo zinapelekea marazi ya kisukari.