Housegirl akizoea kumpikia mumeo akiomba apikwe utakasirika??


mkuu hao wamekufa kishujaa ningejua makaburi yao kwenye majina ya msalaba ningeandika king na kwa wanawake queen
 
kwangu hagusi kitu yoyote ya mume wangu kila kitu nitafanya mm yy atafanya vingine vyote akipenda ila sio kugusa chochote kinakomhusu mume wangu..............mana nitaua yani nitauaaaaaaa kabisaaaaaaaaaa bila hesitation yoyote ile

mwaya hongera wachache kama wewe mi nimeona live ndio maana nikalileta hili..nimetoka tanga kwa ndugu yangu mmoja nikiwa usiku nafanya kazi zangu housegirl aanafua anapika cha mwanaume anampasia nikaomba mungu asije kuwa anapasi na chupi zake za ndani.cha kushangaza mume anakuwa na mimi alafu mama anaenda kulala usiku kabisa anamka kaama ananyata alafu anafungua chumab cha housgirl kwa k unyata asipomwona anakuja pole pole unashtukia huuyu hapa..aisee nimekaa siku taano nkahisi mwezi wanavyoishi...niliumia sana sana nikamweleza ukweli kama amuaminiani si urudi ntykali mkifika mnapeana mgongo wa four asbh hiyo soon mnazoea...moja ambalo nimehisi jamaa yawezekan a kapewa ratiba ya kupewa unyumba...muwe makini jamani
 
umeona eeh.........house girl ni wawatoto na kusaidia usafi ndani na nje ya nyumba may be kama mnayo kubwa ila sio kwa ajili ya baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…