Housegirl katembea na mwanangu

Mmmmmh JF haiishi maajabu.........huo mkasa wa MTU B hapo juu unasisimua ile mbaya!!!!
 

Mkuu...how is ur relationship na Kaka yako? Umewahi kuzungumza hii kitu na mtu yeyote?
 
aaah jamani hivi unaanzaje kumwambia HG akamegwe, anatakiwa kutafuta muda wake akamegwe na mijamaa, mbona mie nilikuwa nadanya naenda tuishen kumbe naenda kumegwa tu,kisha narudi hm mpole kabisa kama sijafanya kitu
Nakukubali sana kwa jinsi unavyokubaliana na hali halisi. Unamegwa na sio kwamba mnamegana.
 
the best any parent can do is to concentrate on their child and not worry about that housegirl, i agree muondoe kwa amani and worry about what is truly yours, kuna peak perfomance they have kids councelling sessions, hata makanisani siku hizi etc and also ensure the next HG is given ToR za nyumba na JD just like sisi tunavyopewa makazini kwetu, i dont think jail is the right option now, i guess the right option is your son.
 
Haya ndo matatizo ya kupenda cheap labour nendeni mkachukue wafanyakazi walio pitia VETA.
Siku zote vitu cheap vinatumaliza sana ss wa Tanzania.
Pole yenu jamani.
 
Haya ndo matatizo ya kupenda cheap labour nendeni mkachukue wafanyakazi walio pitia VETA.
Siku zote vitu cheap vinatumaliza sana ss wa Tanzania.
Pole yenu jamani.
Wa VETA ndio hawana baioloji?? Hawamegeki siyo?
 
Duu poleni wote na matukio mabaya yaliyowatokea from Elli, Mtu B na wengine wengi.

Mimi nina mikasa inayofanana, lakini kwa upande wa mahouse girl na ma house Boy!!!!
Mi niko nje kidogo ya mji, so nina sehemu kubwa kidogo na nina mifugo kama ng'ombe, mbuzi na kuku. Ninahitaji kua na HB kwa ajili ya mifugo na HG kwa shughuli za ndani!! Mpaka sasa nimeshabadilisha pair kama 8 hivi za HB & HG kwa tatizo hilo la wao wenyewe kupeana mavituzi hadi mimba !!! na kwa sasa naona kama kawaida, nikifukuza pair natafuta tena wengine na inakua kutoka sehemu tofauti !!! Nimeshindwa kutatua hilo tatizo mi na maiwaifu wangu. Pair ya sasa hivi nayo inaonyesha dalili hizohizo za waliopita, wanapenda kusaidiana kazi, za huyo anafanya yule ilimradi kazi zisilale!!

Kuna mengi ya kuangalia na haswa kua karibu na watoto wetu na kujua maendeleo yao kwa ujumla.
 
kwakweli haya mambo yapo sana, tatizo tunawaamini sana HG, mimi kwangu wadogo zangu wakitoka likizo shule wanamgeuuza HG mke kabisa , wawili nimeisha wakuta usiku wamelala katika chumba cha HG kila mtu kwa wakati wake
 
Tatizo kubwa ni kwa Tanzania kwenda na wakati. Wafanyakazi wengi hawana haki kwenye nyumba nyingi sana, vile vile hakuna sheria madhubuti zinazowakinga i.e. mwajiri na mfanyakazi wake. Masaa ya kufanya kazi, wapi wanapata chakula chao na malazi etc.

Lazima tukubali kwamba wafanyakazi wa majumbani ni muhimu na sheria kali zitungwe ili kuwalinda ili waweze kuishi maisha ya kawaida, mfano wawe na siku za kupumnzika (weekend) etc. Malipo yao yawe bayana na masaa ya kufanya kazi etc. Tukifika hapo matatizo mengi yataisha. Hatuwezi kutegemea vijana wetu au watoto wetu walelewe na wafanyakazi ambao hawana haki katika karne ya 21.


Kitu unachoweza kufanya kwenye kesi yako ni kumshitaki kisheria na achukuliwe hatua kwa kufanya ngono na minor lakini usisahau huyo House girl ana miaka mingapi? Vile vile na wewe lazima ukubali uzembe wako wa kutokua karibu na mtoto wako kwa sababu dalili ya mvua ni mawingu.
 
.....nimejuta kwa nini nimezaa...arrrrggggh!

Mimi huwa nawaza sana siku nikija kupata watoto nitawalea vipi wasiharibikiwe au wasiharibiane, maana kuna uharibifu mwingi sana unatokea hukohuko nyumbani bila wazazi kugundua.
 
Mie naona tunaangalia sana upande mmoja wa tatizo. Tumebakki kulaumu tu maHGs mpaka mwisho. Mie naona tumeshindwa kueleza nini chanzo cha maHGs kutembea na watoto wetu.

Ukiangalia ktk familia nyingi za kibongo hgs wanakuwa kama vitendea kazi tu bila kujali haki zao za msingi na haswa hiyo ya kujamiiana. Baba na mama usiku wanaingia room wanadu ...... yeye anabakai kuwa na hisia tu wenzangu wanafaidi. Akitoka tu kwenda nyumba ya pili ... mother house atapiga kelele mpaka basi. Akienda sokoni kama atabahatika lazima afuatiliwe ili awahi kurudi. Akimkodolea baba mwenye nyumba mama anakuja juu. Hebu jiulize huyo HG hamu zake atazimalizia wapi? Matatizo ya maHGs kula watoto wetu chanzo ni wazazi wenyewe ....... tunahitaji japo mara moja kwa wiki au baada ya wiki 2 kuwapa nafasi ya kuzurula japo kwa masaa kadhaa ili kama wana washikaji zao waweze kumaliza hamu zao lakini kama tunawaona wao ni vitendendea kazi visivyo stahili kukata kiu tatizo hili halita kwisha.
 
hivi kwa nini tunapenda wafanyakazi wa kulala majumbani mwetu? hatuoni kuwa kama tunataka kumpa mfanyakazi haki zake zote za msingi inakuwa tumejiongezea mzigo?


mwache mfanyakazi aje asubuhi aondoke jioni akimaliza kazi zake. likishindikana hilo kutokana na tatizo la usafiri bongo, kila Ijumaa usiku mwache aondoke ende zake akatafute cha kufanya weekend.

tatizo kubwa linaanza kutokuwa na mikataba na mfanyakazi wako wa ndani.............yeye hajui haki zake, wewe muajiri hujaweka mipaka ya nguvu zako. hapo tunategemea patokee nini?
 
Mkuu...how is ur relationship na Kaka yako? Umewahi kuzungumza hii kitu na mtu yeyote?

Sijawahi kuzungumza hii kitu na mtu yeyote zaidi ya hapa mtandaoni ambapo hamnijui. Na sitafanya hivyo kamwe, nadhani unaelewa unyanyapaa. Huyo kakangu sasa ni adult kama mimi tu, tunalingana sasa nina 29 na yeye 32 na inaelekea kila mmoja anapenda kuendelea kunyamaza. Lakini ninapokumbuka kuwa wote tulikuwa watoto tu, namsamehe. Lakini kwa namna fulani imenijengea hasira sana dhidi ya vitendo vya ushoga, na nina chuki za waziwazi dhidi ya wanaume wanaofir*na kwa hiari yao.
 
Jitahidi kuwahold kama watotot wako uwafunde maadili mema. watabadilika tu!!
Mtu B
Pole sana. nakushauri usione haya tafuta mtaalam wa ushauri akunasihi maana hiyo hali itakuhaunt mpaka utapagawa.
pole aiusee.
Mie najiandaa kummega HG wetu maana naona analeta fujo mitaa ya sebulenebo!
 

Wala sihitaji mtaalamu wa ushauri nilishajishauri mwenyewe, na imetosha nilipofikia. Nafurahi kwamba haijaniathiri katika sexuality yangu, niko 100% heterosexual and potent. Ingekuwa tofauti na hapo ningemchukia sana huyo ndugu yangu, labda hapo ningehitaji ushauri wa kitaalamu, ila kwa sasa hapana.

Kuhusu huyo HG wako bro wewe kama unataka kumega zingatia mawili: kwanza suala la hiari liwepo pande zote, lakini la pili ni kuwa it is at your own risk, kina mama wanakusoma hapa!
 
Nilijaribu kwenye hiyo red hapo. Nikajikuta nalisha nyumba mbili. Ya kwangu na ya wazazi wake. Kila unachonunua lazima karibia nusu kihamishiwe kwao.
 

Du hii kali ya kufungia sredi!!!!!!!
:closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2:

We hujaifunga sredi vizuri. Kwa kweli hii ni ya kufungia SREDI hakyanani.

I Asprin, on behalf of my fellow mods and his excellency invisibo, hereby proudly and loudly announce that this useful sredi is now ofishiale klosdi!
:closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2:
 
Haya mambo mbona tumeshayazungumza sana?
Hawa wasichana wa kazi ni wabaya sana...mimi naona huruma sana watoto wetu tunavyowaacha na hawa watu!
Lakini kuna njia gani mbadala?

Njia mbadala ipo. Ni kununua nanny cam. Hizi nikamera kama zile za usalama (security camera) lakini ni rahisi kuweka nyumbani na usiposema hamna mtu atajua ni camera.

Hii habari imenishtua!! Mimi mwenyewe mmoja wa watoto wangu ana umri huo!! Na ananiambia 'Huyu dada arudi kwao halafu usitafute mwingine tukae wenyewe!!'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…