kuna clip yake moja ipo kwenye youtube..
Hata mimi sijawahi elewa kazi ya housegirl, niseme tu ukweliHeri yetu sisi ambao tunaweza kuishi maisha bila hao ma "house girls"
Hata mimi sijawahi elewa kazi ya housegirl, niseme tu ukweli
Labda hapo baadae nitakapo kua na kazi, familia na mengine
I think ni suala la organization na role distribution ndani tuu.
huyu jamaa mie aliniacha hoi, anapita kwenye maeneo ya baa na hoteli akikuta man yuko na girl halaf ana bia anakunywa naanza kuongea nae thena anakitangazia hicho anachkiita kitab chake anakiuza buku,kuna clip yake moja ipo kwenye youtube..
Hata mimi sijawahi elewa kazi ya housegirl, niseme tu ukweli
Labda hapo baadae nitakapo kua na kazi, familia na mengine
I think ni suala la organization na role distribution ndani tuu.
huyu jamaa mie aliniacha hoi, anapita kwenye maeneo ya baa na hoteli akikuta man yuko na girl halaf ana bia anakunywa naanza kuongea nae thena anakitangazia hicho anachkiita kitab chake anakiuza buku,
Hii sasa ni desparation, kua umtreat mumeo kama mtoto?
kwamba unakua umekubali kua wewe kitumbua chako si lolote
si chochote hadi ale na vingine? Kwamba upo una ishi kwa ajili
ya kumridhisha huyo mume kama Mungu? hasa kwa uzuri gani alio
nao huyo house gal? ajaribu aone kibano cha mbwa mwizi!
hmm hapana aisee huyo sasa sijui anajitahidi kufundisha nini watu.kama ye mkewe alimuacha aichape haucgel yake ndo anataka wote wawe hivyo>??matatizo yake na ndoa yake asitake kuambukiza na wenzie.