Housegirl!

Housegirl!

angomwile

Senior Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
153
Reaction score
81
Jamani mwenzenu kuna beki3 mmoja namzimia kinomanoma,yani amemfunika hata mpenzi wangu hebu mnishaurini.
 
wewe ni mtu mzima, kula mzigo kama ni staili yako, kama siyo ujue utadaiwa siku moja, hapa duniani ama ahera
 
kuna akili zingine jamani hebu tuwe walau tunatafakari mambo ya kuhusisha watu ... unaonaje wazo hili ukatoa kwenye facebook ???
 
sasa kama unamzimia unasubiri nini kumwambia.mwambie akikubali piga gf wako chini.ila make sure unastick nae,sio kumchezea tu mtoto wa watu.
 
tamaa mbaya mamaa..x2 asilimia 20 ndo msanii..
 
  • Thanks
Reactions: LD
Hakika huna mapenzi ya dhati kwa huyo gf wako na namuonea huruma, na nina imani hujampenda huyo beki tatu bali umemtamani unataka umchezee tu mtoto wa watu, ila watu kama nyie nahsi mwisho wenu utakuwa mbaya na kaa ukijua kuwa malipo ni hapahapa duniani.
 
Hata mpeni wako nilimsikia anasema kuna kijana wa ng'ombe pale jirani anampenda kinoma, yani kuliko hata wewe. Unamshauri je boss?
 
Hata mpeni wako nilimsikia anasema kuna kijana wa ng'ombe pale jirani anampenda kinoma, yani kuliko hata wewe. Unamshauri je boss?

thanks ld, post nyingine bana.
 
Akili yanituma niamini wewe ndo ulo andika ile mistari ya Bongo Fleva ktk CSEE 2011.
 
Back
Top Bottom