Hata mpeni wako nilimsikia anasema kuna kijana wa ng'ombe pale jirani anampenda kinoma, yani kuliko hata wewe. Unamshauri je boss?
Jamani mwenzenu kuna beki3 mmoja namzimia kinomanoma,yani amemfunika hata mpenzi wangu hebu mnishaurini.
kongosho You Rock!bora kula beki 2, watamu na wadogo zaidi.