Housegirl

Benice

Member
Joined
Sep 24, 2011
Posts
53
Reaction score
5
Jamani natafuta housegirl kwa hali na mali..awe na umri chini ya miaka 25..mshahara 30000 kwa mwezi..chakula na malazi kwangu...kama yupo naombeni mniandikie namba ya simu nimpigie
 
Jamani natafuta housegirl kwa hali na mali..awe na umri chini ya miaka 25..mshahara 30000 kwa mwezi..chakula na malazi kwangu...kama yupo naombeni mniandikie namba ya simu nimpigie

Hebu kuwa na hata huruma kidogo. Mshahara wa 30K hata Mungu atakulani. Huko ni kumfanya binti wa watu mtumwa. Hata kama ana shida lakini 30K ni fedheha
 
Mmh Housegirl kwa style hii kweli?ukipata Mwizi?
Housegirl ni kazi ya ziada mana unatakiwa kumjua kiundani.
 
Wenzako haya mabo ya jamvini wenzio tunayaanaglia afu tunayaachaga hapa we mwenzetu unayaona ni serious sana?
Kalagha baho!
 
Nkutafutie ila ukiibiwa tusisumbuane

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamani natafuta housegirl kwa hali na mali..awe na umri chini ya miaka 25..mshahara 30000 kwa mwezi..chakula na malazi kwangu...kama yupo naombeni mniandikie namba ya simu nimpigie

wamekua wa tabu kweli hata mie natafuta ila 30,000 mshahara huo wa mwaka gani ndugu yangu??
 
Hivi huo mshahara sio uko chini kweli?

hamna mshahara uliojuu hata serikalini..kiwango cha chini cha mshahara wa mfanyakaz za ndani ni 60elfu lakini ajitegemee..so 30 ni sawa kama anakaa kwako..kwa hali halis ya tanzania 90percent wa ma housegirl wanalipwa c zaid ya 35 na 10percent elf 50
 
Angalau ungetoa 50,000. Na muache kunyanyasa wadada wa watu jamani.
 
Hebu kuwa na hata huruma kidogo. Mshahara wa 30K hata Mungu atakulani. Huko ni kumfanya binti wa watu mtumwa. Hata kama ana shida lakini 30K ni fedheha
ni ndogo ila kibongobongo wasichana wengi wanaofanya kaz za kawaida tu za nyumbani wanalipwa hivyo...kwahivyo wachache wanalipwa zaid
 
Mmh Housegirl kwa style hii kweli?ukipata Mwizi?
Housegirl ni kazi ya ziada mana unatakiwa kumjua kiundani.

kwa njia yoyote unaweza kupata mwizi coz hata ukimjua bado mwizi ni mwiz tu...ila pia nikimpata ntamfuatilia ili nimjue hata akiiba nijue kwa kuanzia
 
wamekua wa tabu kweli hata mie natafuta ila 30,000 mshahara huo wa mwaka gani ndugu yangu??

mwenzangu we unawalipa ngapi kwani mana watu wengi wanalipa hivyo japo kiukweli ni ndogo
 
naweza kupata kwa imani

Kuna mmoja niko naye hapa Sudan ya Kusini anatafuta kazi. We uko Khartoum au wapi? Naona hata kutuambia unapoishi umegoma. Sijui tutakusaidiaje? Nauli (return ticket) utamtumia au anajigharamia?

Afu kanambia nikuulize ukubwa wa familia yako ikoje? Hawezi songa ugali wa watu 12. Na hapo kwako kuna vivulana? Anapinga ubakaji. Mmeo hana rekodi ya kutafuna mahausigelo unaposafiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…