Angalau ungetoa 50,000. Na muache kunyanyasa wadada wa watu jamani.
Kuna mmoja niko naye hapa Sudan ya Kusini anatafuta kazi. We uko Khartoum au wapi? Naona hata kutuambia unapoishi umegoma. Sijui tutakusaidiaje? Nauli (return ticket) utamtumia au anajigharamia?
Afu kanambia nikuulize ukubwa wa familia yako ikoje? Hawezi songa ugali wa watu 12. Na hapo kwako kuna vivulana? Anapinga ubakaji. Mmeo hana rekodi ya kutafuna mahausigelo unaposafiri?
nipo dar kigamboni, usafiri atajigharamia akifika ntamlipa..tuko wanne tu mimi, husband na watoto wawili...kuhusu mmewangu kutafuna mahousegirl atajua akija
hamsini wanaolipa ni wachache sana..kibongobongo 30 ndo yenyewe,,japo ni ndogo kwakweli...
nipo dar kigamboni, usafiri atajigharamia akifika ntamlipa..tuko wanne tu mimi, husband na watoto wawili...kuhusu mmewangu kutafuna mahousegirl atajua akija
nipo dar kigamboni, usafiri atajigharamia akifika ntamlipa..tuko wanne tu mimi, husband na watoto wawili...kuhusu mmewangu kutafuna mahousegirl atajua akija
duh!
Yaan Ajue Yeye?
Heheheheh!
Unacheza Weye!
Jamani natafuta housegirl
kwa hali na mali..awe na umri chini ya miaka 25..mshahara 30000 kwa
mwezi..chakula na malazi kwangu...kama yupo naombeni mniandikie namba ya
simu nimpigie
Jamani natafuta housegirl kwa hali na mali..awe na umri chini ya miaka 25..mshahara 30000 kwa mwezi..chakula na malazi kwangu...kama yupo naombeni mniandikie namba ya simu nimpigie
hamna mshahara uliojuu hata serikalini..kiwango cha chini cha mshahara wa mfanyakaz za ndani ni 60elfu lakini ajitegemee..so 30 ni sawa kama anakaa kwako..kwa hali halis ya tanzania 90percent wa ma housegirl wanalipwa c zaid ya 35 na 10percent elf 50
unautakaHouseBOY Vp?
=120,000Du!
Mimi housegirl wangu namlipa 50k. Anakaa hapa home, kula kulala hapa hapa. Namnunulia nguo, namgharamia hospitali, na kumrushia vivocha vya buku mara moja moja. Majuzi katuambia anataka tumuongeze, tumlipe 60k. Of course, imebidi tuwe wapole kwa sababu tunajua anapiga mzigo wa mahousegirl wawili.
Kuna mmoja niko naye hapa Sudan ya Kusini anatafuta kazi. We uko Khartoum au wapi? Naona hata kutuambia unapoishi umegoma. Sijui tutakusaidiaje? Nauli (return ticket) utamtumia au anajigharamia?
Afu kanambia nikuulize ukubwa wa familia yako ikoje? Hawezi songa ugali wa watu 12. Na hapo kwako kuna vivulana? Anapinga ubakaji. Mmeo hana rekodi ya kutafuna mahausigelo unaposafiri?
umechelewa amepetikana juzindio!
Vp Nitapata?