Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Ndege isiyokuwa na rubani inayogharimu dola milioni kadhaa za kimarekani imedondoshwa na wanamgambo wa Houth huko Yemen.
Taarifa za kuangushwa kwa ndege hiyo ya upelelezi ya MQ-9 reaper bado hazijathibitishwa na Marekani.Hata hivyo jeshi la Marekani mapema leo limeendelea kuishambulia Yemen kwa mabomu mazito maeneo yanayodhibitiwa na Houth.
Yemen wamekuwa wakizishambulia ndege za aina hiyo na wakati mwengine kuziangusha tangu mwaka 2011.Hata hivyo kasi ya mashambulio yao yameongezeka sana tangu vita vya Gaza vianze hapo mwaka jana.