Houthi kufanikiwa kuzamisha meli ya tatu kabla Vita vya Gaza kusitishwa

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Meli moja iitwayo Sounion iko mbioni kuzama baada ya wanamgambo wa Houth kuishambulia kwa makombora mfululizo wakiwa kwenye boti ndogo ndogo huko bahari nyekundu karibu na Yemen.

Meli hiyo iliyokuwa ikitokea Iraq kuelekea Ugiriki ilikuwa ina mabaharia 25 ambao tayari wameshaokolewa wakati meli hiyo ikiendelea kuwaka moto na kuanza kunywa maji.

===========

A crew of 25 has been rescued from a Greek-flagged oil tanker after it caught fire after multiple attacks in the Red Sea.

The Sounion was attacked by more than a dozen people on two small boats who fired multiple projectiles at the ship when it was about 77 nautical miles (143km) west of Yemen’s port city of Hodeidah on Wednesday morning, the Greek shipping ministry and the United Kingdom Maritime Trade Operations (UKMTO) said.

There was a brief exchange of fire, the UKMTO said. In a later update, it said the ship reported another attack that caused the fire and led the vessel to lose engine power and its ability to manoeuvre.

On Thursday, the European Union’s Red Sea naval mission said it responded to a request from the shipping company and the vessel’s captain and dispatched a unit to provide protection to the crew of 23 Filipinos and two Russians.

The crew abandoned the vessel and were rescued by the EU mission, an official told the Reuters news agency. There were no reports of injuries.

As it approached the area on Thursday “a USV (Unmanned Surface Vehicle) was successfully neutralised as it posed a threat to the MV SOUNION and its crew”, the mission official added.

Greece’s Maritime Affairs Minister Christos Stylianides condemned what he described as “a flagrant violation of international law and a serious threat to the security of international shipping”. Greece said the ship could have been hit either by missiles or drones.

The Iran-aligned Houthis began to target international shipping near Yemen last November, saying the move was in solidarity with Palestinians over the war in Gaza. The Houthis have not claimed responsibility for the Sounion attack.

Delta Tankers, the ship’s operator, confirmed the ship was adrift and had sustained minor damage.

The latest news from around the world.Timely. Accurate. Fair. The vessel was on its way from Iraq to a port near Athens where there are many refineries, the Greek port authority said.

The ship is the third Delta Tankers-operated vessel to be targeted. Earlier this month, the Liberia-flagged Delta Atlantica and Delta Blue tankers were struck in separate attacks.

In another incident south of the Yemeni port city of Aden, a merchant ship reported five explosions in nearby waters, UKMTO said, later identifying the vessel as the Panama-flagged SW North Wind I. The crew was reported to be unharmed and the vessel was proceeding to the next port of call, it added.

Houthi attacks have prompted many ship owners to avoid the Red Sea region and send their vessels on lengthier and more costly routes around the southern tip of Africa.

Al Jazeera
 
Mabaharia nawao wangekufa ingependeza sana

Ili wengine wangeona hio njia haifai wakaacha kwenda

Kwani ule muungano uloundwa na Americant na shoga zake kuwazuia ulifia wapi 😀😀😀
Imeshaelezwa kuwa Hawawezi kupambana na Houth kwa vita katika kuzilinda meli.Majenerali wa Marekani wanaoviona hivyo vita moja kwa moja wamesema itafutwe njia nyengine itakayofaa.
 
Waislam huwa hawajionge hata kdg , USA kakaa kimya ili haya yanayoendelea yawagusi hao Saudia , Ugiriki na nchi za Afrika kaskazini na nch za Asia ili watakapokuja kuwadili hawa kila mtu aone ni muhimu sana kufanya hivyo, hata Gadaf aliachwa akajiona mwamba hadi kushiriki kuua viongoz wa nchi jiran ya Libya na kuwapa waasi wengi mafunzo na hifadhi na ndio maana alipovamia kila mtu alikaa kimya.

Muogope mzungu anaangalia mbali sana.
 
Imeshaelezwa kuwa Hawawezi kupambana na Houth kwa vita katika kuzilinda meli.Majenerali wa Marekani wanaoviona hivyo vita moja kwa moja wamesema itafutwe njia nyengine itakayofaa.
Tuliwaambia humu wachafuzi uchwara wakabisha

Siku namsikia yule general sijui wa sent com sijui ndio wapi nlimuonea huruma

Analalama kwamba majamaa hawawawezi

Sasa nikajiuliza kama sisi huku jf tulijua awali kama hawawawezi sasa wao walikua wapi kugundua hili suala namapema?
 
waislam huwa hawajionge hata kdg , USA kakaa kimya ili haya yanayoendelea yawagusi hao Saudia , Ugiriki na nchi za Afrika kaskazini na nch za Asia ili watakapokuja kuwadili hawa kila mtu aone ni muhimu sana kufanya hivyo , hata Gadaf aliachwa akajiona mwamba hadi kushiriki kuua viongoz wa nchi jiran ya Libya na kuwapa waasi wengi mafunzo na hifadhi na ndio maana alipovamia kila mtu alikaa kimya

Muogope mzungu anaangalia mbali sana
Wewe sasa pamoja na makafiri wenzio ndio hua hamujiongezi hata kidogo

Jiulize kwanini bandari ya eliat kule Palestine inayoitwa israhell imefungwa ndio unaweza ukajua kidogo

Pia mwaka 2015 Americant na shoga zake waliungana akiwemo anti yao Uk kuwaponda hao houthi ila wakachemka wakakimbia

Ila wewe kakafiri kadogo kadogo huoni hili

Ama kweli ukiwa kafiri unakua na mtindio wa ubongo
 
20240709_222133.jpg
 
Mabaharia nawao wangekufa ingependeza sana

Ili wengine wangeona hio njia haifai wakaacha kwenda

Kwani ule muungano uloundwa na Americant na shoga zake kuwazuia ulifia wapi 😀😀😀
Chief! Najua unajua kwa dhati kwamba, hao mashoga unaowaita wewe wakiwaamlia hao waja wa mnyeezi mungu, wiki moko tu wanafutika kabisa

Ni vizuri kuwaombea ili mnyaazi mungu awafungue akili waislamu wenzetu ili wathamini utu wao na maisha yao
 
Mabaharia nawao wangekufa ingependeza sana

Ili wengine wangeona hio njia haifai wakaacha kwenda

Kwani ule muungano uloundwa na Americant na shoga zake kuwazuia ulifia wapi 😀😀😀
Nyie ndio mnaishia kupigika, mtalipa mafuta bei mara tatu sio muda mrefu, Houthi msiba wao unakaribia wanawawekea mpango ulioshiba ili kuwafuta once and for all, hamna akili nyie
 
Mabaharia nawao wangekufa ingependeza sana

Ili wengine wangeona hio njia haifai wakaacha kwenda

Kwani ule muungano uloundwa na Americant na shoga zake kuwazuia ulifia wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama alivyokufa choko mudi [emoji1787]
 
Wewe sasa pamoja na makafiri wenzio ndio hua hamujiongezi hata kidogo

Jiulize kwanini bandari ya eliat kule Palestine inayoitwa israhell imefungwa ndio unaweza ukajua kidogo

Pia mwaka 2015 Americant na shoga zake waliungana akiwemo anti yao Uk kuwaponda hao houthi ila wakachemka wakakimbia

Ila wewe kakafiri kadogo kadogo huoni hili

Ama kweli ukiwa kafiri unakua na mtindio wa ubongo
Alafu uweZi kuongea bila kutaja mashoga unapenda sana habar za mashoga maku wewe ya mama ako...mngese
 
Meli moja iitwayo Sounion iko mbioni kuzama baada ya wanamgambo wa Houth kuishambulia kwa makombora mfululizo wakiwa kwenye boti ndogo ndogo huko bahari nyekundu karibu na Yemen.

Meli hiyo iliyokuwa ikitokea Iraq kuelekea Ugiriki ilikuwa ina mabaharia 25 ambao tayari wameshaokolewa wakati meli hiyo ikiendelea kuwaka moto na kuanza kunywa maji.

===========

A crew of 25 has been rescued from a Greek-flagged oil tanker after it caught fire after multiple attacks in the Red Sea.

The Sounion was attacked by more than a dozen people on two small boats who fired multiple projectiles at the ship when it was about 77 nautical miles (143km) west of Yemen’s port city of Hodeidah on Wednesday morning, the Greek shipping ministry and the United Kingdom Maritime Trade Operations (UKMTO) said.

There was a brief exchange of fire, the UKMTO said. In a later update, it said the ship reported another attack that caused the fire and led the vessel to lose engine power and its ability to manoeuvre.

On Thursday, the European Union’s Red Sea naval mission said it responded to a request from the shipping company and the vessel’s captain and dispatched a unit to provide protection to the crew of 23 Filipinos and two Russians.

The crew abandoned the vessel and were rescued by the EU mission, an official told the Reuters news agency. There were no reports of injuries.

As it approached the area on Thursday “a USV (Unmanned Surface Vehicle) was successfully neutralised as it posed a threat to the MV SOUNION and its crew”, the mission official added.

Greece’s Maritime Affairs Minister Christos Stylianides condemned what he described as “a flagrant violation of international law and a serious threat to the security of international shipping”. Greece said the ship could have been hit either by missiles or drones.

The Iran-aligned Houthis began to target international shipping near Yemen last November, saying the move was in solidarity with Palestinians over the war in Gaza. The Houthis have not claimed responsibility for the Sounion attack.

Delta Tankers, the ship’s operator, confirmed the ship was adrift and had sustained minor damage.

The latest news from around the world.Timely. Accurate. Fair. The vessel was on its way from Iraq to a port near Athens where there are many refineries, the Greek port authority said.

The ship is the third Delta Tankers-operated vessel to be targeted. Earlier this month, the Liberia-flagged Delta Atlantica and Delta Blue tankers were struck in separate attacks.

In another incident south of the Yemeni port city of Aden, a merchant ship reported five explosions in nearby waters, UKMTO said, later identifying the vessel as the Panama-flagged SW North Wind I. The crew was reported to be unharmed and the vessel was proceeding to the next port of call, it added.

Houthi attacks have prompted many ship owners to avoid the Red Sea region and send their vessels on lengthier and more costly routes around the southern tip of Africa.

Al Jazeera
Houth uelewa wao mdogo, hayo mataifa siku zote yana long terms strategy, yaani wanaweza kukuacha ukajiona umeshinda kama africa tulivyopata uhuru yaani hali tuliyonayo now kiuchumi mbaya kweli kweli, maana wachache walioaminiwa ni wezi na hela wanaenda kuwekeza huko kwa hao tuliosema wakoloni wanyonyaji na wao pia wanaiba so wana mawakala wao wazawa wa kuwasaidia kuiba kupitia mikopo etc
 
Enzi zimebadilika sana.Tulivyokuwa zamani sio sasa.Wazungu hawana tena njia ya kutukalia juu yetu kwa kila kitu.
Angalia habari za Afrika Magharibi ndio utajua ukweli.
Yemen ingekuwa ni kama ya enzi za mababu basi kweli wangekuwa wamekaa kimya.Lakini wana kambi zao ndani ya milima ndio maana Marekani wanatumia gharama kubwa sana kwa mafanikio madogo.
 
Meli moja iitwayo Sounion iko mbioni kuzama baada ya wanamgambo wa Houth kuishambulia kwa makombora mfululizo wakiwa kwenye boti ndogo ndogo huko bahari nyekundu karibu na Yemen.

Meli hiyo iliyokuwa ikitokea Iraq kuelekea Ugiriki ilikuwa ina mabaharia 25 ambao tayari wameshaokolewa wakati meli hiyo ikiendelea kuwaka moto na kuanza kunywa maji.

===========

A crew of 25 has been rescued from a Greek-flagged oil tanker after it caught fire after multiple attacks in the Red Sea.

The Sounion was attacked by more than a dozen people on two small boats who fired multiple projectiles at the ship when it was about 77 nautical miles (143km) west of Yemen’s port city of Hodeidah on Wednesday morning, the Greek shipping ministry and the United Kingdom Maritime Trade Operations (UKMTO) said.

There was a brief exchange of fire, the UKMTO said. In a later update, it said the ship reported another attack that caused the fire and led the vessel to lose engine power and its ability to manoeuvre.

On Thursday, the European Union’s Red Sea naval mission said it responded to a request from the shipping company and the vessel’s captain and dispatched a unit to provide protection to the crew of 23 Filipinos and two Russians.

The crew abandoned the vessel and were rescued by the EU mission, an official told the Reuters news agency. There were no reports of injuries.

As it approached the area on Thursday “a USV (Unmanned Surface Vehicle) was successfully neutralised as it posed a threat to the MV SOUNION and its crew”, the mission official added.

Greece’s Maritime Affairs Minister Christos Stylianides condemned what he described as “a flagrant violation of international law and a serious threat to the security of international shipping”. Greece said the ship could have been hit either by missiles or drones.

The Iran-aligned Houthis began to target international shipping near Yemen last November, saying the move was in solidarity with Palestinians over the war in Gaza. The Houthis have not claimed responsibility for the Sounion attack.

Delta Tankers, the ship’s operator, confirmed the ship was adrift and had sustained minor damage.

The latest news from around the world.Timely. Accurate. Fair. The vessel was on its way from Iraq to a port near Athens where there are many refineries, the Greek port authority said.

The ship is the third Delta Tankers-operated vessel to be targeted. Earlier this month, the Liberia-flagged Delta Atlantica and Delta Blue tankers were struck in separate attacks.

In another incident south of the Yemeni port city of Aden, a merchant ship reported five explosions in nearby waters, UKMTO said, later identifying the vessel as the Panama-flagged SW North Wind I. The crew was reported to be unharmed and the vessel was proceeding to the next port of call, it added.

Houthi attacks have prompted many ship owners to avoid the Red Sea region and send their vessels on lengthier and more costly routes around the southern tip of Africa.

Al Jazeera
Wahouth wanatakiwa wapigwe hata na nuklia ndio akili zitawakaa wanafujo sana hapo baharini
 
Wahouthi wana morali ya juu sana katika vita wakati unapambana nao Ili uokoe maisha yako wao wanapambana Ili wafe
Kuna wakati walikuwa wanachangiwa na mataifa kadhaa ya kiarabu ikiwemo Saudi Arabia, UAE na USA lakini waliweza survive. Hii imewakomaza na kuwapa experience kubwa sana na kuwafanya waone wanaweza ni kama Ile vita ya Iran-Iraq ilivyowakomaza Iran
Wana over 90% support ya wananchi wa Yemen na ndio nchi yenye mpaka mkubwa na Saudi Arabia. Mara ya mwisho visima vya mafuta viwili vikubwa vya Saudia vilivyoripuliwa inaonekana wao ndio waliohusika kwa kiasi kikubwa
Inavyoonekana uoga ushawatoka na wanaona adui anapigika kirahisi
 
Back
Top Bottom