Hawatashambulia meli tu ila Kisasi kwa Israel kitaendelea ila wajue Israel amesema mapigo ni Saba hadi waseme PO na nionyo kwa Iran..Rais wa Marekani kasema kuwa Viongozi wa Houthis wamewasiliana na Viongozi wa Marekani na kusema kuwa hawatashambulia meli wala Israel.
Hii imefuatia mashambulizi ya Israel katika Bandari, Uwanja wa Ndege, Vituo zalishi vya umeme viwanda vya cement.
Habari hii ni kweli si tetesi tena ,Magaidi hao wamesalimu Amri na kuapa hawatafanya ujinga wao tena wa kuzishambulia Meli huko red-seaRais wa Marekani kasema kuwa Viongozi wa Houthis wamewasiliana na Viongozi wa Marekani na kusema kuwa hawatashambulia meli wala Israel.
Hii imefuatia mashambulizi ya Israel katika Bandari, Uwanja wa Ndege, Vituo zalishi vya umeme viwanda vya cement.
Wameteseka sana chini chokochoko za magaidi kwa ufadhili wa Iran! Wako kwenye jela mbaya sana.Wayemen now wanachant ''Long Live Israel'' death to Houthi, Death to Ayatollah.. Netanyahu Akbar