Hovyo hovyo hovyo.

Hovyo hovyo hovyo.

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
67,252
Reaction score
168,563
Habari!
Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi kwa ajili yangu nachukia kweli fanya kile namvuruga Uliza hiki napinga Uliza kile majibu ni hovyo hovyo tu twende sehemu nimenuna nipewe hiki vurugu tu nipewe kile kero tu!
What's the problem with me???? Binafsi hata sijielewi!
 
inawezekana na wewe juzi ulipatwa..[emoji125] usije ukanijibu hovyo
 
Tafuta sehem tuliv kaa pekee ako kwa muda zen ukitoka hapo nenda kalale wala usisemeshane na mtu
 
Habari!
Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi kwa ajili yangu nachukia kweli fanya kile namvuruga Uliza hiki napinga Uliza kile majibu ni hovyo hovyo tu twende sehemu nimenuna nipewe hiki vurugu tu nipewe kile kero tu!
What's the problem with me???? Binafsi hata sijielewi!
Kwani uko wapi
 
Mi tarehe ya leo inanitia wasiwasi sana kwako tena na hali ya hewa ha saa hivi hia inavuruga sana!![emoji86] [emoji86]
 
we mwenyewe unaonekana ni mtu wa hovyo hovyo
 
Habari!
Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi kwa ajili yangu nachukia kweli fanya kile namvuruga Uliza hiki napinga Uliza kile majibu ni hovyo hovyo tu twende sehemu nimenuna nipewe hiki vurugu tu nipewe kile kero tu!
What's the problem with me???? Binafsi hata sijielewi!
Unaonaje nikutoe out so that ovyoovyo iishe?
 
Back
Top Bottom