Siku za mwanzo za ovulation, probability ya kupata mtoto wa kike ni kubwa as x zinakimbia zaidi ya y na zinaweza kusurvive for almost 4days. Kwahiyo x na x unapata kijike.
Madoctor watasema vizuri maana biology nishaisahau.
Unataka kusema elimu waliyonayo wanadamu haitokani na Mungu?
Nikirejea kwenye mada ni kwamba IT IS POSSIBLE! How? You need to know when ovulation is likely to occur or has occured. Where do you get this knowledge? Here is the mother website: woomb.org (other websites are subsets of the knowledge in this mother website - wachakachuaji wa na complicators wa original knowledge).
Ukishaelewa hivyo na pia kujua sifa za mbegu zinazosababisha ke/me na kufuata taratibu zilithibitishwa kisayansi za kupata mtoto wa kike au wa kiume then una uwezekano wa kufanikisha kama ifuatavyo: Male child >90% na Female child: >75% (hii huwezi kuipata ktk hiyo woomb.org, inatoka katika literature zingine).