Jamaa mmoja baada ya kusumbuliwa sana na gari lililokuwa mbele yake,akaamua kuchukua namba iliyoandikwa nyuma ya gari,nakuipiga,aliyeipokea alimuuliza shida nini,jamaa akasema huyu dereva wa gari yako nadhani hafai kuendesha hili gari,inaonesha sio mstaaarabu na si mtumiaji mzuri wa barabara.Jamaa akamjibu unaye wa kumbadilisha au unanijulisha tu?.Kwa lile jibu jamaa ilibidi akae kimya baada ya muda alikata simu.
Ila jamaa hakufurahishwa na lile jibu,sasa sijui alitegemea kupata jibu la namna gani.
Ila jamaa hakufurahishwa na lile jibu,sasa sijui alitegemea kupata jibu la namna gani.