Huyo mbwa hapana aisee.Kangaroo ndo yupo serious na usingizi ila sio dog 😃
Hamna aliyelala hapo, unawajua unawasikia ?
Kama wewe ukiwaona KE.Mstuko wowote ule panabakia vumbi tu.
Oyaaa,Kama wewe ukiwaona KE.
Mdudu pori aka kiti🔥Mdudu gani tena mkuu
Anaegesha tu kwenye mapori makubwa, akistuliwa kidogo tu utasikia vunja miti inavyounguruma kama roketi. Tahadhari akiwa ameelekea kuja upande wako.Kwani yule analala na yeye?!