AI beautifully shows how BMW cars have evolved over the past century 🚗
From classic vintage models to modern cars, each transition looks as if the vehicle is literally falling apart into pieces, which adds an extra layer of irony for anyone familiar with the old BMW jokes
Sahihi mkuu. Niliwahi soma thread yako kuhusu 320i Sikufanya makosa hadi kesho ipo lakini linataka matunzo kama kuku wa broiler ukilipuuzia kidogo inakula kwako!My favorite beast❤
Kitunze kidumu sasa tafuta X3 ya diesel 2015 utamu mpaka kisogoni😂Sahihi mkuu. Niliwahi soma thread yako kuhusu 320i Sikufanya makosa hadi kesho ipo lakini linataka matunzo kama kuku wa broiler ukilipuuzia kidogo inakula kwako!
😂Sahihi mkuu Tuombe uzima magari ndio starehe zetu. Shukrani zaidi ulinifungua macho sana. Ukitaka kuyafaidi haya magari ya Europe kwa hali yetu ya bongo uwe na substitute sio kila siku upo nalo road labda kama pesa si tatizo. Maana service kukutoka laki 7 ni kitu cha kawaida.Kitunze kidumu sasa tafuta X3 ya diesel 2015 u ta u mpaka kisogoni😂