How can I get rid of my superiority complex

I feel smarter, prettier and deserve better things than my friends, but I'm not showing it. I kinda feel hypocrite and it's killing me.

It is very difficult, you are inferior and you believe that you are superior, that kind of ignorance ni ngumu sana kubadilika. Stay there and make yourself look like a fool.
 
You need to kill ur Ego (ubinafsi) Maisha yanahitaji balance au uwiano kwa kila kitu ...usiishi kimwili sana bila kuishi kiroho and vise versa yake.

Kitu ulichonacho ndani yako ndo huwa kinakuzwa ukiwa Mtu wa chuki ,wivu, kiburi nk Unabidi kujua hivyo vitu vitakuwa ur whole circle itabadilika na kuwa hivyo utakuwa unakutana chuki katika MAISHA yako

Even ukiwa unependa Mafanikio ya watu and you feel better kuona wenzako wanapata success Basi tambua utaanza Kupata Mafanikio na utakutana na watu wenye UPENDO na Mafanikio

So kuwa makini na mawazo yako , Binadamu yupo na nguvu ya uumbaji ukikiongelaa kitu chochote na kukifikiria ndo hicho hicho kitakuzwa kiwe kizuri au kibaya .

So you need to opt Love mpende kila Mtu na mshukuru kila MTU don't feel bitter to anybody stay Positive and grateful. In ur lifetime.
 
Nashukuru sana mkuu, jibu lako litakuwa linanibadilisha siku hadi siku
 
It's okey kujihisi prettier or smarter kwa sababu watu wengi hujiona na huhisi greatness yao kabla ya kuambiwa na wengine. Ndio maana wengine hujivunia kwa kujiita mandingo au kiuno nyigu while wengine hujiona na kupuuza ili waishi na watu vizuri "humbleness and humility"

Hivyo, upo sawa kabisaaa ila shida ni kujiona you deserve better kwa sababu ya natural gifts. Let me tell you, maisha yatakupa kwa jinsi unavyotumia ulivyojaaliwa kwa sababu uwezo usiotumika ni sawa na bure "good for nothing"
 
Asante mkuu
 
I feel smarter, prettier and deserve better things than my friends, but I'm not showing it. I kinda feel hypocrite and it's killing me.
Attend more Funerals ,visit more patients on hospitals...That will Humble your Ego fast!

Always remind yourself that sometimes Accidents occurs and people loses their good-lookings and even others wanapoteza long-term memories and consciousness!!

Thus wale watu ulikuwa ukiwaona Ugly and Dumb ! ....they will be the one to take a close care on your situation [emoji22]!
 
I feel smarter, prettier and deserve better things than my friends, but I'm not showing it.

I kinda feel hypocrite and it's killing me.
You're not beautiful or a unique snowflake, You are the same decaying organic matter as everyone else, and we are all a part of the same compost pile, when you die you will rot and decay just like a dog, that's all you need to know.
I had a similar problems just like you, but life taught me things and god showed me the true meaning of value.
 
It is very difficult, you are inferior and you believe that you are superior, that kind of ignorance ni ngumu sana kubadilika. Stay there and make yourself look like a fool.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375]
 
Your "ego" is too high. People of such attributes are always stubborn and arrogant.
 
Its okay
tabia fulani huja baada ya kupitia mtiririko fulani wa maisha.
hatujui umepitia maisha gani

Pia humbleness huwa haiji tu kuna aina ya maisha ukipitia unakua tu humble

Hio superiority ni matokeo tu ya maisha umeyaisi..chukulia kawaida tu ukijifunza utu,baada ya mda hio tabia itapotea
 
Kama Utahitaji transformations Do these stuffs below starting from today zitakusaidia sana!

Attend more Funerals ,visit more patients on hospitals...That will Humble your Ego fast!

Always remind yourself that sometimes Accidents occurs and people loses their good-lookings and even others wanapoteza long-term memories and consciousness!!

Thus wale watu ulikuwa ukiwaona Ugly and Dumb ! ....they will be the one to take a close care on your situation!
 
Back
Top Bottom