how can i join health insurance company

Mostwanted boy

Senior Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
115
Reaction score
10
katika joining instruction ya st.john nimekuta kitu hiki, "7. You must join a health insurance company which provides coverage throughout Tanzania and present evidence (membership card) of such coverage at registration". Sasa sijaelewa ntajoin vipi hiyo insurance company? Msaada kwa anayejua.
 
Uwe beneficial wa bima ya afya.
 
sijakuelewa, ntajoin vp? Hatua za kufuata?

Waone NHIF,au any health insurance company.u can just google kwa msaada zaid bt nadhan hao NHIF ndo wanapackage ya wanafunz , ila pia unaweza jikuta upo covered tayar na hizo health insurance kupitia wazaz au walez etc.
 
naungana na wewe, afanye ivyo.
 
HAta kama yuko covered na bima ya wazazi wake nadhani kwa muda anaoingia na atakapokua chuo huenda akavuka vigezo vya kuendelea kunufaika na bima ya wazazi (mawazo yangu). Ni bora zaidi akajitahidi kupata ya kwake.

Phoenix of insurance siku hizi wanatoa za afya pia, wengine ndio hao kina Jubilee, NHIF na Strategies n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…