How can this be possible?

Hii nahisi ilikuwa ni game ya wenyewe kwa wenyewe timu zote zimevaa jezi za west ham moja home nyingine away..

Namuona captain mark noble ndani ya uzi wa away
 
Haiwezekani hii. Mimi naona kama walipanga kitokee tunachokiona
 
Hii nahisi ilikuwa ni game ya wenyewe kwa wenyewe timu zote zimevaa jezi za west ham moja home nyingine away..

Namuona captain mark noble ndani ya uzi wa away
No....nahisi ni mechi kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…