How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

Chato has never been developed in terms of infrustructure and buildings like gbabolite. Its not even a fair comparison. Only people with sinister and vengeful motive against magufuli will dare make comparison between the two.
Afterall the two are in contrast to amother. While gbadolite was a forest jungle chato is a place inhabited and much developed of government administration and governance compared to gbadolite.
 
Mjenge kwa hela zenu si hela ya kodi yetu! Chato kama ilivyo itakaribisha wakina Raila tu na haina umuhimu wa Uwanja wa Kimataifa ikiwa wa Mwanza upo!
Hela zenu wewe na nanii wewe mkwepa Kodi?
Unadhani watu wa huko chato wao hawalipi Kodi na hizo Kodi unadhani sio haki yao kuzifaidi?
Akili yako ni matope kweli.
 
Post ya 2016 ikiwa umeitabiria 2025. You're such a genius lakini swali langu ni 'ulijuaje kama jamaa atakata moto njiani kabla ya 2025'?
 
Chatto ipelekwe na reli ya standard gauge na fry over ni pazuri kwa uwekezaji.Sasa hivi airport na traffic light zipo.Pombe tufanyie chatto yetu na liwe jiji la chatto kabla ya 2025
AHADI YA STANDARD GAUGE HADI KITANDANI ITATIMIA... KAMA BARABARA ZILIVYOFIKA HADI KITANDANI HUKO CHATO
 
Mkuu Geza, Geza Ulole , asante tena kwa bandiko hili, hili jambo kama hili na mimi pia nililizungumza https://www.jamiiforums.com/threads...au-yamoussoukro-watalii-watamiminika.1351238/
P
 
Post ya 2016 ikiwa umeitabiria 2025. You're such a genius lakini swali langu ni 'ulijuaje kama jamaa atakata moto njiani kabla ya 2025'?
No hakutabiri half way, alitabiri full term ya 10 years, hivyo alizungumzia 2035 na sio 2025!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…