How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

Yaani Tz kuna machiziii chizi kama wewe, je kuna uhusiano gani na JPM?? Yaani wewe nahisi siyo mtanzania, unatuonea wivu sisi watanzania kwa kupata rais muadilifu.
Wewe kenge kweli tena bin zuzu bin hayawani!
Uwanja wa ndege chato!
Mbuga ya wanyama!
mabenki yaliyojengwa bila kuwepo wateja!
 
Manaake kulikuwa na mission mahususi juu ya Maisha ya Rais Magufuli.
Indeed, kuna watu wapo way ahead kujua nini cha kufanya mkuu. Anyways ni bora kujiapambania maisha binafai kuliko kusubiri mambo ya siasa kuja kurahishisha maisha.
 
Utajiri woote wa madini hiki ndicho waliambulia
 
Yaani Tz kuna machiziii chizi kama wewe, je kuna uhusiano gani na JPM?? Yaani wewe nahisi siyo mtanzania, unatuonea wivu sisi watanzania kwa kupata rais muadilifu.
Hi Gbadolite ya Mobutu, imekosa tu matangazo. Ni kivutio tosha cha utalii. Watu wengi hasa wazungu wangetembelea hiki kivutio kuushangaa ujinga wa mwafrika.

Na matangazo yangewekwa viwanja vikubwa vya michezo huko Ulaya na America, na kwenye viwanja vya ndege vikubwa vya kimataifa, tena yasomeke, VISIT DRC, VISIT GBADOLITE, VISIT AFRICA AND ADMIRE THE FOOLISHNESS OF AFRICAN LEADERSHIP.
 
UNAMATATIZO SAANA KICHWANI. HIVI UNAFANANANISHA JEMADARI MAGUFULI NA HUYO RAISI WA ZAIRE? MAGUFULI HAKUJENGA MALI ZAKE, UWANJA WA NDEGE NA STENDI VYOTE HIVYO NI MALI YA WATANZANIA WOTE NA WEWE UKIWEMO, HIVYO MATUMIZI NA UKARABATI WAKE NI KILA WAKATI KWANI NI MALI YA UMA. RAISI WA ZAIRE HIZO MALI ZILIKUWA ZAKWAKE BINAFSI, NDIO MAANA BAADA YA KUFA HAKUNA MWANAFAMILIA ALIEWEZA KUZIENDELEZA, NDIO MAANA ZIKAHARIBIKA, NI SAWA NA WEWE SIKU UKITOWEKA USIKUTE HATA HIYO SIMU YAKO IKAFA, KWA KUWA NIYAKWAKO BINAFSI. MAGUFULI ALIJENGA MALI ZA UMAA, SIO MALI ZAKE, KWA HIYO UKARABATI NA MATUMIZI UTAKUWA PALE PALEEEE.
 
No hakutabiri half way, alitabiri full term ya 10 years, hivyo alizungumzia 2035 na sio 2025!.
P
Aisee kauli huumba, who knew hata hiyo 2025 hataiona? Ogopa masononeko ya wanaoumia! Nguvu zote zile za kulazimishia utalii Chato kwa kuzisurutisha taasisi za serikali kama TANAPA na nyinginezo kujenga mahoteli na maofisi Chato huku akisimamisha ujenzi nchi nzima na huku akidhoofisha utalii Arusha kwa makusudi kwa kupora na kufunga Bureau de Changes, na hila zoote ziile, malengo hayakufanikiwa!
 
Sema Jemedari wa Chato!
 
It's true kauli huumba, ila tufike mahali huyu jamaa aachwe apumzike Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Kauli za kizembe zinazohalalisha uonevu! Wasipolipwa wakapige mnada mali za marehemu kutia mkazo swala la rule of law!
Kauli kama hii ya Pascal Mayalla hutolewa na wanaofaidika na mfumo. Karma huja baada ya juhudi kuzuiwa kishetani. Kwanza serikali ishurutishwe kuwalipa, na serikali ikigeuka dhalimu ikakataa kuwalipa, basi ndiyo Karma iachiwe ifanye kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…