How close is your bantu language to Swahili

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Je, Kiswahili kinakaribiana na lugha yako vipi ?
Kwa lugha yetu (Ki-embu/Ki-Kuyu)..

Maneno ya kawaida
Mtu - Mundu
Kiti - Giti
Meza - Metha
Kijiko - Giciko
Kitanda - Gitanda
Nyumba - Nyumba
Viatu - Iratu
Maji - Mai

Sentensi
Kuja hapa - uka ava/Uka haha

Maneno ya lugha yenu ya Ki-Bantu yanakaribiana vipi ukilinganisha na kiswahili
 
Hiyo milugha lugha yenu mtaiacha lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…