Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia.
Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na tatizo la mifupa nikaambiwa huko Chasimba Kuna daktari mzuri sana wa MOI na ni mbobezi hasa kwenye tiba za mifupa.
Nikapewa namba zàke za simu na mawasiliano yakaanza mara Moja. Ilichukua siku kadhaa ndipo nikapata appointment nyumbani kwa doctor.
Nilimpeleka kijana akiwa na picha zàke za vipimo, akaziangalia kisha katoka Hali ya kishangaza akaanza kupamdisha majini, watoto wake wakaleta mafuko makubwa kabisa yenye madawa ya kienyeji.
Nyimbo zikaimbwa hatimaye mashetani yakatulia na mganga akaanza kutupa kile alichoambiwa na mashetani yake.
Sitaki kukoandika hapa ila yule Dr. Wa MOI alinisaidia sana kwani mtoto wangu alipona.
Swali:- je inawezekanaje Specialist Doctor wa mifupa akawa pia mganga wa kienyeji?
Je Moi wanajua kwamba daktari wao ni sangoma?
Je hamna mgongano wa kimaslahi ( conflict of interest) Kati ya Moi na Mizimu ya mganga?