ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba wilayani hakustahili kuwa na vitu vizuri kuliko mkoani?Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
Inawezekana UPIGAJI kwenye hiyo halimashauri ni wa chini ndio maana uanaona kazi nzuri kuliko sehemu zingine ndani ya mkoa.Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
Kwahiyo mabasi yanaingia ndani ya ghorofa hilo!Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
Huu ni uongo. Stand ya Makanga kwanza ni ndogo sana. Ni vimajengo vichache tu. Na haiwezi kuifikia ya Songea.Labda Lindi na Mtwara.Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
Ok...sawa kiongozi.... wilaya mpya...Iko karibu na tunduru hukuZamani ilikuwa ndni ya Masasi sasa hivi ni wilaya inayojitegemea tangu mwaka 2019
Kweli mkuu ya songea mpya iko juu sorry nilikosea hapo Kwa songeaHuu ni uongo. Stand ya Makanga kwanza ni ndogo sana. Ni vimajengo vichache tu. Na haiwezi kuifikia ya Songea.Labda Lindi na Mtwara.