Msamiati
R I P
- Mar 6, 2011
- 1,063
- 700
Huitaji Hata cheti cha form 4 kujua jambo hili, Computer Programming make this easy, Jaribu kupata Picha ATM mashine inavyo kagua kadi yako, na kujiridhisha kama ni feki au halali kasha inaamua kukuruhusu uendelee, au pale inapo tizama namba za siri unazoingiza kama zina makosa, na ikikuta hazina kasoro inaamua kukuruhusu uendelee. Kama hiyo haitoshi Jaribu kufikiria computer inapoamua kukataa kutoa kiasi cha pesa unachohitaji kwa kuwa salio lako halitoshi, OWESOME! computer inafanya maamuzi kama binadamu.
Baada ya kutoka kwenye Episode ya 11, kwenye Free Professional Java Programming tutorial sasa tunaenda kuona ni jinsi gani computer program zinasimamia maamuzi kwenye simu, magari, viwanda, usafirishaji, majengo, tiba na kila Nyanja inayotumia mfumo wa computer kwa kutumia keywords mbili tu!
Je Unawazo la kuwa contributer katika ulimwengu wa Sience na Technology?