How dare you Kenya? Egypt, Nigeria and South Africa be asking

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Baada ya USA kuelewana na China na NAFTA (Canada, Mexico, USA), katika negotiation za bilateral trade, Next itakuwa ni EU halafu baada ya hapo ndo wengineo kama South America alafu Africa.

Ndani ya North Africa, Marekani imeshaanza kufanya bilateral trade agreements mpya na Morocco, halafu maajabu ambayo hayajawai kuonekana, Marekani itaanza kufanya mazungumzo na Kenya kwanza hapa Sub Sahara Africa.

Kawaida ingetarajiwa Marekani ianze na nchi zenye ushawishi na Uchumi mkubwa barani kama Nigeria au South Africa ili iwe rahisi kwa nchi zengine barani kufuata kama vile Marekani ilianza na China, alafu EU etc

Anyway, tuombe Mungu Kenya iwe imetuma strong negotiators ili tupige dili nzuri maana roundi hii ile AGOA sioni ikiendelea tena baada ya muhula wake kuisha.

=====

shipping-containers-stand-beneath-gantry-cranes-on-the-dock-at-mombasa-port-operated-by-kenya-ports-authority-in-mombasa-kenya-photographer-luis-tato-bloomberg.png

The U.S. and Kenya are expected to announce negotiations on a free-trade agreement next week, America’s first such deal with a sub-Saharan country, a person familiar with the plans said.

The Trump administration wants the accord to be a model for future pacts with other nations in the region, one of the people said, declining to be identified because the talks are private. An announcement on the discussion will coincide with Kenyan President Uhuru Kenyatta’s visit to Washington next week.

Macharia Kamau, Kenya’s principal secretary for foreign affairs, said the nations expect real progress on an agreement by the third quarter of this year, depending on how the negotiations go.

Now that President Donald Trump has signed the first phase of a trade pact with China, and the Senate approved his U.S.-Mexico-Canada agreement, the White House is turning its attention to scrutinizing trade relationships with other nations and regions including the European Union, the U.K. and Africa.

The White House referred questions to the U.S. Trade Representative’s office, which didn’t immediately respond to a request for comment.

‘Deepen AGOA’

Any potential pact won’t replace the African Growth and Opportunity Act, which provides 39 sub-Saharan African countries duty-free access to the U.S. for about 6,500 products ranging from textiles to manufactured items, Kamau said by phone. An agreement will instead “deepen and expand” AGOA, he said.

AGOA was first signed into law by former President Bill Clinton in 2000 and extended for 10 years by former President Barack Obama in 2015.

The East African nation’s cabinet will probably approve discussions with the U.S. this week, Kamau said.

The U.S. currently has one free-trade agreement on the African continent -- with Morocco. In August, U.S. Assistant Secretary of State for African Affairs Tibor Nagy said in August that the nation was pursuing a trade deal with an unidentified country in sub-Saharan Africa, adding that it would be used as a model for others when AGOA expires.

The U.S. favors bilateral trade agreements with African nations, Nagy said in the same interview. That differs from the view held by the African Union, which favors a free-trade agreement to replace AGOA when it expires, AU Trade and Industry Commissioner Albert Muchanga said at the time.

Source: BNN Bloomberg
 
Najua kingereza inawachenga ndugu zetu wa kusini,let me put it in a simpler version

U.S. and Kenya are expected to announce negotiations on a free-trade agreement next week, America’s first such deal with a sub-Saharan country

The U.S. currently has one free-trade agreement on the African continent -- with Morocco
 
It all boils down to one moment, this day when Kenyatta met Trump at the Oval Office.
DlqDFMUX0AAaejy.jpg
Wale wanakwaya wa kawa kwenye jukwaa hili waliiponda sana shughuli hiyo. Ila matokeo yake ndio haya. Nilimuona Trump na alivokuwa aki'operate' kwenye press conference yao jana na Netanyahu kuhusu dili mpya ya Israel-Palestine. Trump ni rais, ila kiuhalisia bado ni mwanabiashara old school na presentation na personality ndio vitu vinavomshawishi, kwa asilimia kubwa. Buhari wa Nigeria pia alifika White House, ila haku'drive' agenda yake kama Uhuru. Sasa agenda ya kibiashara ukanda huu wote na Sub-Sahara kwa ujumla ipo mikononi mwa Uhuru. Atakavofanya negotiations hivi karibuni akifika Washington DC na matokeo yake ndio yatatumika kama model kwenye bilateral deal zote zingine na nchi za Afrika.
 
A small country negotiating with a big country is always a dangerous thing. We should be careful. If we negotiate for American manufacturers to set up shop in Kenya e.g GM, Ford, Tesla then that is good because that is what South Korea and Singapore did with the western world. However, if we agree to import machines from US e.g Boeing aeroplanes, train stocks, cars, computers and chemicals yet we are exporting to them tea, flower, coffee, sisal and semi-processed textiles then we are in deep sh*t. The trade imbalance will be enomous. We already have a big trade imbalance between Kenya and China, we cannot afford to do the same with the US. This may be a good deal or it may be a bad deal, it just depends on who our trade negotiators will be.
 
A small country negotiating with a big country is always a dangerous thing. We should be careful. If we agree to import machines from US e.g Boeing aeroplanes, train stocks, cars, computers and chemicals yet we are exporting to them tea, flower, coffee, sisal and semi-processed textiles then we are in deep sh*t. The trade imbalance will be enomous. We already have a big trade imbalance between Kenya and China, we cannot afford to do the same with the US. This may be a good deal or it may be a bad deal, it just depends on who our trade negotiators will be.
Niliona kwenye UK-Africa Investment Summit rais U.K alilazimisha hoja ya travel advisories za serikali ya UK kwa wananchi wake dhidi ya Kenya. Hadi ikabidi PM Boris Johnson asikize na akubali kusitisha ukurupukaji wao ambao ulikuwa unaumiza sekta ya utalii nchini Kenya. Sidhani Uhuru anapuuza maoni ya wataalamu na kwenye hii fani ya diplomacy na biashara ya kimataifa yupo on point.
 
Huja gusia hoja ya mwenzako kuhusu China - Kenya trade imbalance na deal zao za ajabu ajabu ambazo wame sign na Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu anza kwa kunitajia hizo bilateral TRADE deals za ajabu ajabu kati ya Kenya na China, moja baada ya nyingine ili tuzifahamu vizuri. Maanake navojua mimi ni kwamba hamna nchi yeyote ukanda huu ambayo haina trade imbalance na China. Ukiweza pia tueleze kuhusu deal za Tz-China kama zipo.
 
big things coming....mambo makubwa yaja hapa Kenya
 
Ni vizuri, hata jirani zenu tutafaidi. Ila huyo mtu wenu mfuatilie anavyo-negotiate kwenye muda wake wa lala salama asiwe na maslahi bonafsi. Mkipigwa ni EAC imepigwa indirectly.
 
Bileteral trade Agreement USA - Kenya? Kenya atauza nini USA, Kipchoge au?
 
Hebu anza kwa kunitajia hizo bilateral TRADE deals za ajabu ajabu kati ya Kenya na China, moja baada ya nyingine ili tuzifahamu vizuri. Maanake navojua mimi ni kwamba hamna nchi yeyote ukanda huu ambayo haina trade imbalance na China. Ukiweza pia tueleze kuhusu deal za Tz-China kama zipo.
Sgrv na parachichi
 
It all boils down to one moment, this day when Kenyatta met Trump at the Oval Office.
DlqDFMUX0AAaejy.jpg
Wale wanakwaya wa kawa kwenye jukwaa hili waliiponda sana shughuli hiyo. Ila matokeo yake ndio haya. Nilimuona Trump na alivokuwa aki'operate' kwenye press conference yao jana na Netanyahu kuhusu dili mpya ya Israel-Palestine. Trump ni rais, ila kiuhalisia bado ni mwanabiashara old school na presentation na personality ndio vitu vinavomshawishi, kwa asilimia kubwa. Buhari wa Nigeria pia alifika White House, ila haku'drive' agenda yake kama Uhuru. Sasa agenda ya kibiashara ukanda huu wote na Sub-Sahara kwa ujumla ipo mikononi mwa Uhuru. Atakavofanya negotiations hivi karibuni akifika Washington DC na matokeo yake ndio yatatumika kama model kwenye bilateral deal zote zingine na nchi za Afrika.
Bileteral trade Agreement USA - Kenya? Kenya atauza nini USA, Kipchoge au?
Mambo za 1st and middle income huwezani bro, jaribu ya LDC utaeleweka.
 
Bileteral trade Agreement USA - Kenya? Kenya atauza nini USA, Kipchoge au?
Get it how you live homeboy....You worry about your neighbor business instead of your own. Thats where you f*cking up
 
Tanzania wamei term Kama North Korea kumamae zaoo. The economy status going to achieve is admirable to the whole of Africa
 
Sgrv na parachichi
Tangu lini SGR ikawa ni bilateral trade agreement? Unajua bilateral trade inamaanisha nini? Kuhusu maparachichi ya Kenya kuenda China biashara hiyo inaendelea kuimarika, pata uhondo kidogo. Hii ilikuwa mapema 2019 miezi kadhaa baada ya rais UK kutia saini mkataba huo.
 
Bileteral trade Agreement USA - Kenya? Kenya atauza nini USA, Kipchoge au?

US Becomes Second Biggest Buyer of Kenyan Products

The United States of America has overtaken the Netherlands to become the second-largest market for Kenya's exports in the eight months to August, turning the spotlight on Nairobi's policy of looking East.

American consumers bought Sh26.9 billion worth of Kenyan goods in the period to September ahead of Netherland's Sh25.3 billion, according to the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) data.

Uganda remains the top buyer of Kenya-made goods, but the US has climbed to the second spot from position three last year

Kwasasa Tunauzia USA bidhaa za $644m wakati tukinunua bidhaa za $365m kutoka kwao
-------------------------------------

U.S.-Kenya Trade Facts

Kenya is currently our 98th largest goods trading partner with $1.0 billion in total (two way) goods trade during 2018. Goods exports totaled $365 million; goods imports totaled $644 million. The U.S. goods trade deficit with Kenya was $279 million in 2018.

According to the Department of Commerce, U.S. exports of goods to Kenya supported an estimated 5 thousand jobs in 2015 (latest data available).

Back
Top Bottom