How did Majaliwa become a pm? He talks extremely very trivial issues!!

Ametoka mbali kweli huyu Chinga
 

Attachments

  • IMG-20220610-WA0004.jpg
    16.9 KB · Views: 2
Sure, Majaliwa anavuma katika mifumo mibovu, kwa hiyo harekebishi mifumo ili aendelee kuwa relevant, sasa akirekebisha atafokaje jukwaani? Katika mfumo unaofuata sheria, Majaliwa si mali kitu. Majaliwa is irrelevant kama kuna Rais anayetaka mifumo ifanye kazi kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni
 
ccm is rotten from head to toe, JK exceptional.

the remaining are no differ with maggots
 
Kayumba graduates in early 80,S
Amesoma shule ya maana sana "kigonsera" A.K.A kigo acha kumshusha hadhi.

Class mate wa Walter Mbunda, Shaibu Juma Nambitile, Frowin Mpunga,Walter Mmuya hao wote ni vichwa kweli kweli.

1980 Kigonsera ilikuwa kati ya secondary chache bora sana kusini mwa Tanzania na waliosoma hapo walikuwa VIPANGA kweli kweli.
 
Naona mmeanza atoweshwe. Naunga mkono hoja
 
Unachoshangaa kwa Majaliwa ndicho ninachoshangaa kwa almost 99 percent ya Viongozi tulionao chini ya hii CCM.

Ni weupe sana vichwani mwao.
Watanzania wengi zaidi wanapenda mambo ya mpira wa Simba na Yanga na udaku wa mitandaoni.
 
Nimemaanisha wanaoandika viingereza hapa kwenye hii thread. Mkuu
 
Ulianza vizuri sana lakini ulipomtaja Dotto Biteko nikadharau andiko lako lote yaani!

Kama unataka kujua Majaliwa alipataje Uwaziri Mkuu, jiulize pia Dotto alipataje Ubunge, Ukishajua alivyokuwa mbunge na kuona unyama uliofanyika Wallah Wabillah utaedit uzi wako.

Hakuna Mwanaccm Mzuri kwenye lolote lile
 
Who is holding shadow powers, the one you mentioned or the former one, the smiling one?
 
Mjomba amewasikia anasema mwaka huu anaplan za kuishangaza dunia na ulimwengu wote kwa ujumla
Ohoo Msalimie sana "Mjomba" nikipata nafasi mwezi July niaomba uniunganishe naye naape "shanja"πŸ€πŸ˜…πŸ˜…
 
Mjomba amewasikia anasema mwaka huu anaplan za kuishangaza dunia na ulimwengu wote kwa ujumla
Hiyo itakuwa habari njema sana, natamani aishangaze Dunia na Tz yetu, uwezo anao anaaminika.πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…