How did Majaliwa become a pm? He talks extremely very trivial issues!!

Hiyo ni worng question, right question how did system allowed such such incompetent peoples on highest position?
 
Sukuma gang mumeanza sasa,alivokua magufuli mulikaaa kimyaa,kil mtu mulimuona Jembe.......tulieni dawa iwaingie vizuri
 
We endelea kuumia tu mwenzio kashapiga 10,na ataendelea kula mshahara wake na ulinzi juu mpaka akiondoka hapa duniani...
 
uncouth words(to terrify), majozi ndo hutumia hiyo mbinu kuibia wananchi

Rejea Id Amin dada(ccta)
JPM ,huyu alitisha hadi akiwa kashakata roho ,majaliwa njombe anasema Yuko hai na nimeongea nae(duu!)

asije akasema amekufa akazinduka Ikawa balaa
Katika siku nilimuona huyu mzee ni box ni siku ile.....sijui namuonaje!
 
Katika siku nilimuona huyu mzee ni box ni siku ile.....sijui namuonaje!
Mimi siku nilomuona hana haya ni siku alosema serikali inaendelea kupata uzoefu wa kuomgeza watumishi mishahara, Yani miaka 60 ya uhuru serikali haina uzoefu wa kutoa haki?
Rais Samia aishi maisha marefu.
 
Hiyo ni worng question, right question how did system allowed such such incompetent peoples on highest position?
Unafikiri hiyo system ni Ai...,?? tz ukisikia mfumo asilimia 80 ni ccm ....je hii 20 % inaweza kubadili jambo!?
 
Unafikiri hiyo system ni Ai...,?? tz ukisikia mfumo asilimia 80 ni ccm ....je hii 20 % inaweza kubadili jambo!?
Well sio ccm technicaly, is a loophole kwenye katiba ambayo inawapa hiyo power ya ku invade hata functioning body za uteuzi na kuweka watu wao

20% wataweza, but ita require sadaka ya hali ya juu, and we all know wabongo kujitolea kwa mambo kama hayo bi wazito
 
NOTE: He is the first PM who has not been a full Minister.
 
Tumepigwa
 
He lied blatantly in a mosque about the health of the late mwendazake. I think most people have disregarded him ever since.
He was not a right person to announce.
The protocol was not in his side, absolutely had no mandate to do such a thing.

He knew it very well, but the entire system needed time to prepare protocol.

You must know ,it was shock, the president to die while is in power/office.

Anything bad would have happened, So it needed smooth procedure,Therefore it is not good to call him liar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…