eleza mtoto ukweli,dunia ya sasa si ile ya jana!mimi siku zote huwaambia watoto wangu ukweli,kama siwezi kumnunulia kwa sababu nimegundua kina madhara kwake nitamwambia,kama sina pesa namwambia au namuahidi nitampa baada ya muda flani,inategemea lakini ukweli ni mzuri hasa katika kumjenga mtoto pia.mfano first born wangu 6yrs alimuliza mama yake hivi mum watoto wanatoka wapi,mum akamdanganya wiki moja baadae mtoto alikuja kutoka shule ni mkali anamuliza mama yake kwa nini alimdanganya?akamweleza jinsi mtoto anapatikana!tuwe wa kweli kwa watoto hata kama si kwa vitu vyote lakini pale inapobidi ni vizuri