TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Mar 14, 2011 #1 wengine wanatoa flowers, wengine wanatoa out, wengine wanaleta zawadi mbalimbali na lots of sms and fun messages Lakini wengi tukishaingia kwenye mapenzi, tunaishia kuishi kama walimu au watawa... too much cold principles Wewe unafanyaje??
wengine wanatoa flowers, wengine wanatoa out, wengine wanaleta zawadi mbalimbali na lots of sms and fun messages Lakini wengi tukishaingia kwenye mapenzi, tunaishia kuishi kama walimu au watawa... too much cold principles Wewe unafanyaje??
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,386 Mar 14, 2011 #2 Hivi kweli unategemea watu watakwambia wanavo fanya bila wewe kuanza?
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Mar 14, 2011 #3 nakuwepo ninapohitajika. kama sio kimwili basi kiroho.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Sep 27, 2017 #4 Roulette said: Hivi kweli unategemea watu watakwambia wanavo fanya bila wewe kuanza? Click to expand... si ndio hapo
Roulette said: Hivi kweli unategemea watu watakwambia wanavo fanya bila wewe kuanza? Click to expand... si ndio hapo