How do you know about Valentine's Day?

s.fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2009
Posts
663
Reaction score
117
Eti jamani..mi naona siku hii ni mechi tu! tuache utani bana
 
Kwa wenye uhusiano wa NGONO basi itakuwa ni full sarakasi kwao

Kwa wenye uhusiano wa UPENDO basi itakuwa ni full kuonyeshana namna ya kujali, kufurahi pamoja na kushirikiana kila jambo kwa upendo
 
You mean what do i know!.... Ni kuonyeshana mapenzi tu kwa unaowapenda ndugu zako watoto kama unao na hasahasa kwa mpenzi wako. mpe zawadi muonyeshe kama unamjali na kumpenda sana kuliko mwanamke yeyote hapa duniani
 
Mmmmh! mi naona its just a minor part day la msingi kuonyeshana mapendo zaidi through caring kwa sana,making eachother happy kwa utani utani nin,sweet word kwa sana, some romance kwa wingi and other activities to keep your relationship awake... mechi kidogo maji yakifika shigoni, nit mnamalizia na the ril game...!!!! Kwa hit it running itakua mzuka...
 
Ninatoa mwito kwa wote kuwa sio siku hiyo pekee inayohitaji kujali na kupenda, bali ni kila siku. Watu wengine wameweka mtazamo wao kwenye masuala ya ngono zaidi kwa siku hiyo. Ni siku ya kudangayana sana hivyo muwe makini.
 
Nakuunga mkono Rachel kusia kwa alisimia 3000%
 
you mean what do i know!.... ni kuonyeshana mapenzi tu kwa unaowapenda ndugu zako watoto kama unao na hasahasa kwa mpenzi wako. Mpe zawadi muonyeshe kama unamjali na kumpenda sana kuliko mwanamke yeyote hapa duniani


hakuna ukweli ni uchakachuaji unafanyika,,,,,, kutokana na historia yake valentine day ni kwa wanandoa tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…