Mwambie amepungukiwa maji mwilini mwake, aongeze idadi ya vikombe vya maji anavyokunywa kila siku, Aibu (social anxiety) ni moja ya dalili za mwili kuanza kupungukiwa maji. Soma zaidi hapa: Kiu ni nini? Ijuwe kiu | maajabuyamaji.net
Umeona?!! hapo ndo uamini maji ni uhai na kwamba ni lazima tusisubiri kiu ndipo tuyanywe!. Kazi za maji mwilini | maajabuyamaji.netNdio maana mtu akiwa ana hasira na kuanza kulia hupewa maji
Umeona?!! hapo ndo uamini maji ni uhai na kwamba ni lazima tusisubiri kiu ndipo tuyanywe!. Kazi za maji mwilini | maajabuyamaji.net
kama bado hujapata msaada niinbox. hope he get well soonHabari zenu wakuu, nilikuwa naomba mnijulishe ni jinsi gani mtu anaweza akautreat ugonjwa wa Social Anxiety Disorder coz nina mdogo wangu ambaye I think anao coz dogo ana aibu ile mbaya hadi inafikia point anaogopa oppposite sex(females), so naomba mnisaidie coz nasikia huu ugonjwa unaweza ukastimulate mawazo ya kujiua.Help me, I still like my brother.
Habari zenu wakuu, nilikuwa naomba mnijulishe ni jinsi gani mtu anaweza akautreat ugonjwa wa Social Anxiety Disorder coz nina mdogo wangu ambaye I think anao coz dogo ana aibu ile mbaya hadi inafikia point anaogopa oppposite sex(females), so naomba mnisaidie coz nasikia huu ugonjwa unaweza ukastimulate mawazo ya kujiua.Help me, I still like my brother.