Kwa yeyote mwenye uelewa na hili swala anisaidie, watu wanasema kwamba automobile eng ni part ya mechanical eng. sasa inakuaje automobile eng duration ikawa 4 yrs na mechanical ambayo ndiyo kubwa kwake ikawa 3 yrs. Je automobile engineer anaweza kufanya kazi nyingine mbali ma ufundi wa magari.?