How does it come 3 yrs for Mechanical eng. and 4 yrs for Automobile eng.

Kadabrah

Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
54
Reaction score
7
Kwa yeyote mwenye uelewa na hili swala anisaidie, watu wanasema kwamba automobile eng ni part ya mechanical eng. sasa inakuaje automobile eng duration ikawa 4 yrs na mechanical ambayo ndiyo kubwa kwake ikawa 3 yrs. Je automobile engineer anaweza kufanya kazi nyingine mbali ma ufundi wa magari.?
 
Wapi huko mechanical engineering inafundishwa 3 years??Mimi najua iliopo COET basi ni 4years na vyuo ambavyo vinachukua diploma holder ndio wanafundisha kwa 3 years kama DIT,ACT na MUST( cna uhakika kama wanatoa M.E) but hakuna chuo ambacho mwanafunzi amedahiliwa direct from form 6 akasoma engineering kwa miaka mi3,ilikuwepo DIT but now imeshafutwa,form6 miaka mi4 na diploma 3 years
 
Mechanical Eng.Mbeya University ni 4yrs... Cjajua kama kuna ambako wanaitoa kwa 3yrs..
 
Hakuna engineer yoyote dunian ya 3 years kwa form six mm najua 4 years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…