How does it sound to your ears that most of the world’s richest men and women were school drop outs?

Ngoja Niache kusoma haka ka-certificate changu ka Upendo Vocational Training Center
 
Umenena mkuu tukiongea ukweli tusiwaige hawa watu wa marekani aisee tutapotea

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ngoja Niache kusoma haka ka-certificate changu ka Upendo Vocational Training Center
 
nafikiri walikuwa na elements za entrepreneurship ndo maana wakaachana na shule
 
nafikiri walikuwa na elements za entrepreneurship ndo maana wakaachana na shule

walipofeli waliaamua kutafuta alternative ya maisha wakajikuta wanauza mkaa mara duka mara bureau de change mara ndo hivyo tena!
 
walipofeli waliaamua kutafuta alternative ya maisha wakajikuta wanauza mkaa mara duka mara bureau de change mara ndo hivyo tena!

sometimes kufeli ni kuzuri maana akili inakukaa sawa na unaweza ukatoka fasta kuliko wale waliokomaa na shule.
 
Hao watu ni vichwa hata ukijaribu kuangalia hivyo vyuo walivyo-drop baadhi ndio top institutes..
 
Mkuu umemaliza..
 
ukisema swatu waliosoma unakosea concept unajua hata hao waliosoma wanasoma mkusanyiko wa maarifa toka kwa watu ambao hawakusoma sana au umesahau mgunduzi wa umeme,umesahau akina wright wagunduzi wa ndege,umemsahau Nobel mwanzilishi wa tuzo ya Nobel na mgunduzi wa baruti,je umemsahau Ford mutu aliyekuiwa mtengeneza magari makubwa duniani.Conclusion you dont need university degree kuwa Rich person sisi magraduate unaweza kuangalia nyuma wale watu uliowaacha nyuma je ni nini unatofautiana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…