Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Katika kila maisha ya binadamu kuna mambo mengi yanatokea ambayo yatamfanya mwanadamu abwage manyanga kwenye kufikiri mfano kutafuta asili ya jambo mfano wa kiumbe!
Zipo nadharia nyingi zimeanzishwa ili kuendeleza ugunduzi wa misingi ya mambo haya tata katika asili yamambo mfano mkubwa asili ya binadamu kuna akina LAMARKISM THEORIES (mtanisamehe kama nimekosea), DARWISM THEORIES na CREATION THEORIES zinaposhindwa theories nyingi tunaangukia theory ya creation.
Hivi ndugu zangu tujadili mustakabali wa ustawi wetu katika dunia kwa namna tujuavyo ili kubadilishana mawazo. Binafsi nipo upande wa creation theorie lakin kweny nukta ya science state of nature lazima uhusike yaan kama ilivyo awali binadamu alitumia mabavu kuleta ustaarabu(kuorganise) basi hata kusambaratika kwake itakuwa hivyo.