How does TZ store your Maize for long period without Rotting? - 60% of kenya stocks are already rotten

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Its unfortunate that kenya prides itself in "technology" and agricultural sophistication yet just 8 months 60% of all the maize that was bought from farmers and stored in Goverment Cereal stores is completely rotten and unfit for human consumption.
The cycle of lack of maize continues!
 
Inawezekana kuna ufisadi umefanyika kwenye hayo mahindi,mahindi gunia milioni sita zinaozaje zote kirahisirahisi na isigundulike mapema hatua zikachukulia.Haya maghala yanasimamiwa na panya au binaadamu?.
 
Tenderpreneur import animal feed at cheap price n then exchange by selling the good maize!
 
This is sad! Halafu inakuaje serikali itoe kibali cha 6m bags halafu zinaingia 10m bags!! Kenya kuna mifumo imekufa kabisa
 
Kweli huu ni ufisadi... Ila tunakalibia kuuangamiza... Ombeni mungu sana manake tayarinumeanza kuingia uko kwenu kwa korosho
 
Kweli huu ni ufisadi... Ila tunakalibia kuuangamiza... Ombeni mungu sana manake tayarinumeanza kuingia uko kwenu kwa korosho
Unakaribishwa unaijua price lakini? Plenty of korosho 400,000 tons vs Kenya's 30,000 tons!
 
Unakaribishwa unaijua price lakini? Plenty of korosho 400,000 tons vs Kenya's 30,000 tons!
Tayari cartel za korosho zimeingia uko subiri korosho kilo itakuwa 2000 muhindi nae auze elfu 15 india... Hao ndio wanatawala hii biashara
 
Tayari cartel za korosho zimeingia uko subiri korosho kilo itakuwa 2000 muhindi nae auze elfu 15 india... Hao ndio wanatawala hii biashara
Aaa wap JPM amesema serikali itazinunua iuze directly to end user countries. Cartels Wawe makini wasipoangalia watafungiwa kununua korosho Tanzania! U can't set a price that a farmer can't recover his/her input cost!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…