How East Africa Is Setting An Example For The Rest of The Continent

At that time u can't say Kenya contributed lion share! The railway n lake transport, Tanzania had lion share! If u don't know Mugabe mediated how can I help u with that shallowness?
 
At that time u can't say Kenya contributed lion share! The railway n lake transport, Tanzania had lion share! If u don't know Mugabe mediated how can I help u with that shallowness?
Everyone knows kenya had contributed the most in these companies esp EA airways.. So to expect to get equal share is being naive
 
umoja ni nguvu bro!

Najua,
Lakini huo Umoja ndiyo wautake siku hizi wakati Ardhi za Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi zinakaribia kuisha?
Hili siyo jambo jema hata kidogo na linatuleta sana Ukakasai ndugu zenu huku Tanzania.

Miaka ya nyuma Mzee wetu Marehemu Jomo Kenyatta na serikali yake walikataa kata-kata mapendekezo ya kuunda Shirikisho la Afrika Mashariki: Hadi kukatokea mvutano mkubwa baina yake na Mzee Nyerere na Mzee Obote.

Nadhani tubaki tu kuwa majirani na washirika wa kibiashara.
Mambo mengine kuhusu shirikisho hayana A wala Z.
 
dah! yaani nataka tuungane wabongo pmja na wakenya tu....nimechoka na kulinganisha kila wakati....tupendane priss..the thread inasema East Africa, jamaa anakuja kuleta mambo ya TZ vs KE...haha! yaani naboeka sana
Taratibu umeanza kuwa mkubwa, maana siku hz sion povu
 

Tayari tulishajiuliza hayo na tumechukua hatua muafaka, hivyo sio shida kufurahia hatua ambazo kizazi chetu kinachukua kwa faida ya watoto na wajukuu wetu!

Hata mataifa yaloendelea wakati uchumi wao unakua kwa kasi walikuwa wanafurahia mafanikio yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…