How he built a billion dollar business in Tanzania

Acha wivu. Ni wazee wangapi wakiachia business zao watoto wanazikuza? Tena vijana wa kiswahili hopeless kabisa! Ndo atalewa na kuoa wake za marafiki zake wote afe na ukimwi!

Big up Mo!
Mo hana lolote,angekuja na mtaji+ideal. ding ndo hiro aliweza kumsomesha, kupata mtaji,aliona fulsa akamrudisha hom.
 
I like That statement below. Big Up Mo
“If someone asks me who is smarter between my father and I, my one answer is that it is my father! Why? Because to make money from money is easier than to make money from nothing,"
 
Sina shaka watakua wametengeneza pesa kam kama inavyoelezwa kweli ni jitihada kubwa kwa mo.
Kibaya kwa METl ni ubora wa bidhaa zao za chakula kama juice/squash na mafuta! kweli mlaji hajapewa kipaombele ukilinganisha na wazalishaji wengine wa mafuta na vinywaji.
Mishahara yao ni duni sana METl hasa viwandani na mashambani, wafanya kazi wao wanafanya kazi kwakua wamekosa pakukimbilia! pengine wanatakiwa wayaone mapungufu haya kwao!
 
Acha wivu. Ni wazee wangapi wakiachia business zao watoto wanazikuza? Tena vijana wa kiswahili hopeless kabisa! Ndo atalewa na kuoa wake za marafiki zake wote afe na ukimwi!

Big up Mo!
Thanks God am not Mswahili Lol 🙂 King'asti
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…