How Hot Is It In Hell?

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,584
Reaction score
6,136
Hii nimeikuta sehemu na nikaona niilete hapa. Sikutaka kuiweka kwenye jukwaa la dini kwani imekaa zaidi kisayansi. Soma na wewe utowe mawazo yako. Ila kwa mbali inatoa somo safi sana hasa ukiwasoma wadini ambao siku zote husema kwa kuwa huko kwao basi utaenda motoni.

baba mkubwa hiyo ni ya uongo!! tupe detailed info. ni LINI na WAPI?!!.....and he got the only A! nadhani ungeipeleka kwa wavunja mbavu~ au ni sawa na yule dogo aliyeandika CV ya kuvunja mbavu na akapata kazi Microsoft?
 
Sina uhakika kama ni kweli au lah. Nimeweka habari kama ilivyo na hapa cha muhimu si kuwa hii habari ni kweli au uongo. Kama wee umesoma Chemistry na umesoma jinsi WADINI wanavyoshambuliana humu ndani, unaweza kabisa kuona jibu hilo hata kama mtu katunga basi kwa kweli alijitahidi. Hapa hata kama utajua ni UKWELI, haina umuhimu wowote.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…