How I imagine people in JF

Haya, naona mambo ya cheza kwa step usijemgusa wa mwenzio.

Kelly,mbona Penny simuoni leo??,nimejaribu kumtafuta viwanja vyote humu jamvini lakini wapi

Naona mambo ya matchmaker, itabidi tumuombe invisible awaanzishie jukwa lenu sasa.-Don't mind me I'm just thinking out loud.
 
hahahaha! kumbe umemlia chabo kila kona?...hata miye sijamuona may be she is swamped today but she will definetely be here...lets wait..[blue]"hapa panaitwa mtakuja"[/blue]
 
Naona mambo ya matchmaker, itabidi tumuombe invisible awaanzishie jukwa lenu sasa.-Don't mind me I'm just thinking out loud.

Best usikonde na wewe lazima nikutafitie wako...bado naangalia angalia type yako...najua unapenda aina gani ya mwanamke so chillax best wangu ok!...
 
Balantanda i told you kuwa na subira Penny atakuja tuu...nimempiga chabo mitaa fulani hivi.....anamalizia drink yake...she will be here in a minute.
 
Yo yo mimi namfahamu toka shule za vidudu, may be to have my real match Bala can make a day...lol
 
Best usikonde na wewe lazima nikutafitie wako...bado naangalia angalia type yako...najua unapenda aina gani ya mwanamke so chillax best wangu ok!...

....huyo atakuhangaisha...machaguo yake too peculiar... mara nyingi ni wale "bongoflava"!!
 
Yo yo mimi namfahamu toka shule za vidudu, may be to have my real match Bala can make a day...lol

Yeah Bala will be a perfect macth...matter of gact he has been looking for you all over leo.....Nimeshampa neno kumbe na yeye was checking you out...so i guess my work is done here!...Penny and Balantanda (my shem)...fanyeni vitu vyenu PM!....
 
....huyo atakuhangaisha...machaguo yake too peculiar... mara nyingi ni wale "bongoflava"!!

HAHAHA SteveD!..Umenifurahisha sana bongoflava yaani dezaini kama akina Rayc hivi?..au nimekosea!...hebu nipe hint vizuri basi.....
 
Yeah Bala will be a perfect macth...matter of gact he has been looking for you all over leo.....Nimeshampa neno kumbe na yeye was checking you out...so i guess my work is done here!...Penny and Balantanda (my shem)...fanyeni vitu vyenu PM!....

Haya my dear ngoja nimsubirie my cupcake Balla! Duh maana jina lenyewe linanikosha roho. Haya sasa ngoja nimsubirie mzee mzima
 
Cupcake...naona kuna hatoration campaign ya nguvu inayoendelea kichinichini.....najua na wewe umeiona hiyo....

Watu wengine bana

Yes cupcake i did...I have my all eyes wide open....no matter what haitafika mbali hiyo campain aisee..itagonga ukuta....
 
Haya my dear ngoja nimsubirie my cupcake Balla! Duh maana jina lenyewe linanikosha roho. Haya sasa ngoja nimsubirie mzee mzima

Balantanda ushindwe wewe tu sasa...

Halafu Cupcake...itabidi na huyu mtu wetu (u know her well) naye tumtafutie wa kwake...maana asije akatuharibia u cupcake wetu
 
Haya balantanda...Penny amekuja wewe umepotea au keyboard yako imepatwa na hiccups!???...maana umenihangaisha leo siku nzima kwa ajili ya Pennynimechoma mafuta yangu kwenda kumsaka huko alipokuwa amekuja wewe umekimbia uuuugh!
 
No doubt cupcake!..lazima tumtafutie maana naona anaanza kutuwekea usiku.....hahahahaah alafu hawa watu wasijiite cupcake maana we are the cupcake..wao ni half cake kama alivyojisemeya YE!
 
Mwee my sister kelly 01 naona pengine ameenda gym Balla! ngoja nivute subira maana siunajua tena...
 
Vuta subira kamdada...najua atarudi tuu!...hahaah guym inawezekana...maana alisema anataka kuwa physically fit for you!...
 
Mwee my sister kelly 01 naona pengine ameenda gym Balla! ngoja nivute subira maana siunajua tena...

yeah....Cupcake wangu alimwambia kuwa unapenda six pack...na mwenzio anataka kuku impress
 
No doubt cupcake!..lazima tumtafutie maana naona anaanza kutuwekea usiku.....hahahahaah alafu hawa watu wasijiite cupcake maana we are the cupcake..wao ni half cake kama alivyojisemeya YE!

Ok me and my Balla tutajitafutia jina pale tutakapo kubaliana...(heart race puh puh puh, where is Balla jamani...!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…