How I Met My Wife

Thanks so much

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro nimesoma story yako mwanzo mwisho..kama yote uliyosema ni kweli basi sijawahi kuona mtu bwege na dumb kama wewe maisha yangu yote.. hata Nai anavyokuambia huna msimamo trust me anakuvumilia tu kukwambia manemo mazito zaidi ya hayo.. una bahati tu Mungu yupo na wewe ndio maana unatoboa..

Lakini maisha yangekuwa fair ungekuwa
ulishakufa kwa ujinga wako

Tena sister ako aliekuchana ndie mtu pekee aliyeweza kukwambia ukweli..lakini kuonesha upuuzi wako ukaona solution ni kumnunia..

Kuwa mwanaume ni uwezo wa kupokea consequences zinazotokana na action zako..
Lazima uweze ku-take responsibility zinazotokana na matendo yako na ndio kitu dada yako alikua anajaribu kukwambia... yaani unataka kupiga mashine bila condom upige wewe then dada yako aanze kukufariji.. WTF man.. grow up
 
😬😬😬
 
Kwahyo kutia mimba tu ni ubwege unaostahili matusi yote hayo?
 
Wewe kweli carcinoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mawazo yako.
Kwa upande wangu naona Nzi Chuma ana msimamo wa chuma, kamuia binti ambae anajua au kuhisi hatashika mimba. Hapo hapo karudi pale pale alipofukuzwa na mama na baba mkwe kwa kejeli. Mwamba ukiacha hayo ya ujana, msimamo wako ni wa chuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi, wale marafiki zako waliokupatia namba za Sophy & Nai wanahabari kuwa ulifanikiwa kuwagegeda hawa? Nini kilimbadilisha Mama Mkwe wako hata akabadili msimamo wake wa Kinduli?
 
Rafiki aliyenipa namba ya Sophy ni moja ya my best friends, na kila siku ananiambia Abdul ni mwanao, Sophy anazingua tu. Ila tunafanya mchakato wa kwenda huko Moro. Aliyenipa namba ya Nai bado tunawasiliana, lakini hajui kama nilimuoa Nai.
 
Hama hakika sijawahi pendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…