How I Met My Wife

Hivi mliioa kwa nini hamtaki tuletea visa vyenu ?
Wengi wameoana kwa Magendo😁😁.
Utakuta.
Huyu alimtia mimba mwanafunzi wakatorokea mafia,anatafutwa na rb bado ipo hai.
Mwingine alipora mke wa mtu,na mwenye mke ni Mbabe bado anahofia maisha yake.
Mwingine aliozeshwa ndoa ya mkeka kwa kulakula ma binti wa mwenye nyumba.
Hana furaha na mke wa kubabimbikizwa..

Basi makandokando mengi mpwaaa.
Wachache wenye ujasiri.
 
Asante mkuu. Ushauri nitaufanyia kazi kiongozi ingawa sio kwa hiki kisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mmoja wapo, kama sio leta ya kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Gyole
Ya kwangu ipo ila haina mambo mengi sana sijui kutafunana ni nini,mm ni mlokole pia nimeoa mlokole mwnzangu,so hatua kuwa na root za kwnda huko na huko kutafuta sehemu ya kutinduana.
Goodluck tukiwa mwezi mpevu baada ya kufung ndoa nilimkuta sealed,nikafanya uzinduzi mwenyewe.
Wewe mmoja wapo, kama sio leta ya kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mvivu kuandika story ndefu yaani nashindwa kabisa.
Ila kusoma aisee nna speed ya ajabu.
Story kama ya Peniela.
Nachofanyaga nina download page za story, inakuwa offline.
Baada ya hapo na tulia muda tulivu ntaisoma mpk itaisha hata nisipo imaliza basi ntabakiza page chache sana.
 
Hongera sana mkuu, kuandika story ndefu ndo tatizo langu pia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah pole na hongera sana mkuu.
 
Peniela n hatari sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni hataree...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupa like yangu point muhimu hatuziachi.

"Start with why".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…