How I Met My Wife

Nimesoma zote ambazo ni za kweli na zimeisha. Ile ya kigakoyo ya mwisho ndo haijaisha na jamaa hajaonekana tena
mimi humu nina watu na watu ninaosoma story zao sisomi za kila mtu ila huyu tumetoka mbali namfaham hajawah kua na stoy mbaya zote ni nzuri sjajua hiz za wengine sjaanza kuzisoma lakini usiku inshallah nitazisoma
 
Ni 🔥🔥 hutojutia, zikiwa mbaya nitakuja kule t kwa miguu😜
 
Hayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…