How I Met My Wife

We jamaaaa dah dah

Aiseee hii noma
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro tomorrow do it early as possible. Dahhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The continuing story of how I met my wife.....

.....Winter is Coming....

So kiufupi I travelled to Dsm that same day. Nakumbuka kwenye basi nilikaa kwenye siti na dada mmoja hivi ambaye alikua anapenda penda kama tuongee hivi, bt I was not in the mood. Itakua ndo wale wanaoliwaga kimasihara na masela kwenye uzi wa rikiboy. Nimefika DSM night. I took a room kwa hotel nikajitupia kitandani.

Asubuhhi naamka ndo nasikia njaa, nikakumbuka mara ya mwisho kula ni juzi yale mayai na kahawa. Nikaamua kutoka ile hotel na kwenda kutafuta msosi. Mpaka leo hua napita maeneo ya bar ya pale riverside na kuwaunga hata kwa bia mbili kwa kumbukumbu ya siku ile. Nakumbuka nilikaa sana pale, yaani kuanzia breakfast hadi dinner. But niliutumia muda wangu vizuri. I planned my life that day.

Kwanza nilijua natakiwa kusahau kuhusu mapenzi. I had a shot at love and I blew it. So nikaamua that day kuwa, nikifika miaka 30, ntazaa na mwanamke yeyote tu. Then baadae ntaongeza wengine kadri life litakavyoruhusu. Pili nikaamua pesa kidogo nliyokua nayo ntafungua ofisi ya issue za kuburn CD (enzi hizo it was a big deal), kuflash simu, kucharge simu pamoja na kuuza some accessories za simu. Na mwisho niliamua kuwa na kampuni sasa ile niliyokua naiplan siku zote.

That day nililala hotel pia. Ila kesho yake nikaingia mitaa ya Kimara kusaka geto. Dar bana, hela yako tu, huchelewi kupata unachotaka. Ingawa sikupata aina ya makazi ninayotaka sehemu ambayo ni karibu na barabara, ila nilifanikiwa kupata chumba na sebule eneo fulani katikati ya Baruti na Msewe. It was a good compound, full usalama na eneo la kutosha. Same day nikanunua kitanda kidogo futi 3.5 pamoja na godoro. Mpaka namaliza hiyo michakato yote jioni ishafika. Zamani kulikua na bar moja maarufu pale kimara baruti, nikaenda kupata msosi na kuangalia live band huku natafakari how my life will be. Ila kila nikimkumbuka Nora Napata maumivu ya moyo. Love hurts aisee.

So that’s how I settled in Dar. Ofisi yangu ilikua mitaa ya kimara Korogwe pale, ule mtaa juu ya tuta la barabara karibu na bar flani walikua wanauza kitimoto moja matata (ustaadh JBourne59 utanisamehe hahaha). Wiki ya kwanza ilikua ya watu kuja kushangaa shangaa tu pale hasa wadada. Utasikia “kaka una wimbo wa Suma lee” ukisema upo utasikia “wa Pasha je, ule unaitwa ni soo?” ukimwambia upo pia basi anakwambia ntakuja kuburn cd kesho, ziandae kabisa. kesho hata humuoni, akija basi itakua ni kwa issue nyingine kabisa. Bt the next week nikaanza kupata walau hela ya kula. I burned VCDs na MP3s za kutosha. All this time, wala sikutaka kujua whats happening in Dom. Kusema ukweli matamanio yangu ilikua Nora anisahau kabisa, na amove on. Ingawa nilimpenda bt our relationship has become too much complicated to take it further. She is young and beautiful, she will find someone else.

Then Sunday nikatafuta kanisa nikaenda kusali after a long long time. Nakumbuka ilikua ni parokia ya pale Msewe. Mahubiri ya siku hiyo ni kama yalikua yananigusa live. Nikaelewa kwa nini walokole hua wanalia kanisani. Kiufupi yule padre siku hiyo alianza kama kutusema watu tunaoishi kwenye dhambi na kuona kama kawaida, yani uko na girlfriend mnaishi kama mke na mume then mnaona ni sawa tu. Ila akamaliza kutukumbusha kuwa Mungu wetu husamehe. Hii ikanipa walau ahueni kuwa nikiamua kumpigia magoti Mungu nikamuomba msamaha basi atanisamehe. After church, nikarudi home nikiwa na mpango nicheki movie the whole day…

Mida ya saa tisa hivi nikasikia simu inaita…. Kupokea nikajua instantly who was on the other side of the phone. Ile sauti hata angeongea taratibu kwa sauti ya chini bado siwezi isahau. Ni sauti ambayo imeniimbia mara nyingi, imenibembeleza nilipolia, imenichekesha, imenitania, imeniambia nakupenda mara kibao.. it was Norah. Alivyosema hallo, nikajikuta Napata furaha. Ingawa nilishachukua maamuzi ya kumpotezea bt sjui why nilifurahi kusikia sauti yake. Nilikaa sekunde kadhaa bila kusema chochote. Hadi aliporudia tena “hello”, ndo nikakusanya nguvu kumjibu, “hello kiddo”. She giggled (ile kucheka kindanindani kama unaguna). Nikaendelea, “are you ok”, akanijibu everything is fine. ‘simu ya nani?’ akajibu ya housegirl wao. Akaniambia mama yake bado inaonekana anahasira naye ila walau anaitikia salam yake. Ndo kunipa updates ya kilichoendelea. Akasema boss Rona alijifungia chumbani kwake kwa siku mbili, hali chochote. Nora akasema alijihisi mkosaji sana kwa mamayake na kuona amemdisappoint sana.

Akaendelea kuniambia siku ya tatu ilibidi ashinde mlangoni kwa mama yake akilia pia. Akasema alikaa mlangoni kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa tano Analia tu na kuomba msamaha. Baadae alivyoona mama yake hafungui ndo ikabidi amwambie mama yake kuwa hawezikuona anakua sababu ya mama yake kupoteza maisha kwa njaa, so anaona bora atangulie yeye… akawa anamuaga pale kwa kumwambia she is the best mom in the world, and she loves her more than anything or anyone in the world, anampenda kiasi kwamba anayatoa maisha yake ili yeye mama yake aendelee kuishi. Akiwa anaondoka pale mlangoni ndo anasikia mlango unafunguliwa, kugeuka anamuona her mom amenyong’onyea macho makavu, ikabidi amfuate wakakumbatiana huku wote wanalia..

Nora akaendelea kuniambia kuwa anachoshangaa ni kuwa kila akimuomba mama yake amsamehe, anamwambia kosa sio lake, ni la huyo bazazi. Ndo akaniuliza, “Kiga au kuna kitu ulimuudhi mom Zaidi ya hiki?”, nikawa najiumauma pale, natamani nimwambie ukweli bt nikajikuta tu ‘hapana’ imenitoka automatically. Then akaendelea kunipa updates kuwa after she made sure her mom is ok, she came to my house, na inaonekana kama sipo muda mrefu. Ndo na mimi nikamhadithia what has happened so far. Sikumficha kitu, “so now you have your own office” aliuliza huku kama anacheka. “yeah its small bt I plan to grow it big”, nikawa namjibu pale. Akauliza hadi ilipo nikamtajia. Bt nikakumbuka kuwa mimi na yeye hatuna future kabisa, kutokana na hii situation ilivyo… so nikamwambia, “Kiddo, I know you love me, believe me, I love you too. Ila mama yako hawezi kubali mahusiano yetu so its better you move on”…. Nakumbuka Norah alikua kimya tu, alipoongea tena nikagundua alikua Analia “you are giving up on me bro …. (sob)……. please, don’t do this…….. my life will be miserable without you…… I love you so much…….. please don’t leave”, sikueza endelea kusikia mpenzi wangu akilia, nikakata simu.

She didn’t call again… although lazima nikiri mara nyingi nilitamani kupiga ile namba ili niongee nae tena. Bt siku zikapita. Wiki moja ikawa mbili, hadi zikafifa tatu. Nikawa najua Norah atakua ameelewa somo. Biashara yangu ikawa I naenda fresh tu, yani sikosi hela ya kula wala kuishi. Muda wote huo sijawaambia mama yangu na dada yangu kuwa nimepiga chini kazi na nipo dsm. Nakumbuka siku moja sis alinipigia akaniambia kampuni inapitia wakati mgumu, kuna maamuzi waliyachukua yanawakost na itachukua months kurudi katika hali ya kawaida, nikapata sababu ya kutowaambia abt me maana watazidi kupanick.

One Friday nakumbuka nipo naburn CDs za watu, tena wale wateja ambao wanataka muda huo huo waondoke nayo. Nikahisi kama kuna mteja amesimama muda mrefu bila kuagiza chochote, muda huo nlikua bize namuongelesha mteja wangu aliyekua amekaa kwa pembeni. Then nikaangalia upande wan je, ndo kumuona sasa,… Norah Mekonnen mwenyewe. Nikajikuta nimesimama ghafla nikamkimbilia. I hugged her so tightly. “what are you doing here?”, wala hata hajibu kitu… “umefikajefikaje hapa?” nikamuuliza huku najichomoa mwilini mwake… alikua amevaa kitu walikua wanaita ‘pedo pusha’ nyeupe na ki t-shirt cha pink. Zilimkaa vyema.

Kwakuwa hakuwa anajibu kitu, nikampa kiti akakaa pale kwa nje, mi nikaingia ndani kumalizana na mteja. Nlivomaliza nikafunga kabisa ofisi, tukasogea pale kwenye bar ndo kuanza kupiga stori. Maswali yangu yakutaka kujua amefikaje pale akayapotezea, alichonambia cha kwanza ni kuwa, anataka kusikia kutoka kwangu direct nikimpiga chini. Nikaanza maelezo pale, ooh unajua mama yako haezi kubali ….

Nikasikia “fu.ck what other people are thinking, the equation is very simple, you love me or you don’t”, “ofcourse I love you, ninachoogopa ni kukupotezea muda wako” nikajielezea pale. Ndo akanambia “skiza Kiga (mara chache sana ananiitaga jina langu halisi), what my mom is feeling now is disappointment, aliniamini sana mimi na pia alikuamini sana wewe akijua huezi mfanyia ulichofanya, but mi na wewe tunajua kuwa tunachofanya kinasukumwa na hisia tunazofeel to each other. Baada ya muda hasira za mama zitapoa, inaeza chukua miezi but it will so lets not give up now”.

Nikashindwa kubisha wala kukubaliana nae. What she was saying made sense, ila najua kama angejua mkanda mzima asingefikiri anavyofikiri sasa. Kiufupi tukakubaliana kuendelea. Nikafurahi kuona anasmile. Akaanza kupata na soda pale huku ananisimulia namna alivyokuja. Anasema alivyoona simtafuti, ilikua hana jinsi ikabidi aje dsm. Alimwambia mama yake anataka aje dar amsalimie KM maana hajamuona muda. Mama yake aligoma katakata, mpaka ikabidi ampigie KM amsaidie kumuombea ruhusa. Mama yake alikubali kwa sharti la kutotoka kwenda popote alone. Ndo akafanikiwa kuja janayake na leo akaanza kunisaka hapa Kimara, akasema anabahati siku ile alisikia nikitaja mtaa ofisi yangu ilipo. Nlipomuuliza kama KM katoa ruhusa, akasema hapana, alivyotoka kwenda job na yeye kamalizia vishughuri pale akaja.

Badae nikamwambia akapaone na home kabisa. Akakubali kwa sharti la kutochelewa maana ni kama ametoroka home. Nikamfikisha hadi ghetto, kuingia ghetto lenyewe simpo, sebule ina stuli tu… na room kuna kitanda, godoro na stuli. It was such a simple life aisee. Bt hata hakumind, she sat on the bed nikakaa kwenye stuli. Akanionesha kwa ishara nikakae pembeni yake, nikatii. Nlivokaa, akanigeukia akaanza kunikiss. I missed those lips. And they didnt disappoint.

Bt nlivotaka kuanza kutalii maeneo mengine akaniomba niache. Akahofia tukianza atachelewa kutoka na kesho atashindwa kuja. Basi nikamuacha, we started talking other things, ndo akaniambia j3 wanafungua shule, so jpili anasepa. Bt akawa ameahidi kesho atakuja mapema.

Kesho yake mida ya saa nne kweli akaja. Nlikua hata sijatoka kitandani. Siku hiyo sikua na mpango wa kwenda kufungua ofisi. Kunfungulia ndo kuona kaja na mazagazaga kibao. Yaani alikuja na jiko la mafuta ya taa, masufuria, ndoo, sahani, vijiko vikombe yaani alifungasha hasa. Mi nashangaa pale, binti kaanza kuandaa cha kupika, alikua amenunua maini buchani pamoja na unga wa ugali. Akanambia nikajipumzishe room. Kweli nikamuachia nafasi afanye yake. Nikawa nacheki tu movie kitandani. Alifanya usafi kila mahali that day alivyomaliza kupika, then ndo akaniletea msosi, tukakaa chini tukaanza kula.

Mara anilishe na mimi namlisha, namsifia amepika vizuri (ingawa akawa anajistukia kazidisha chumvi, bt was ok to me) bas it was full burdani. After eating akaosha kila kitu then akaniambia tukaoge. Bafu lilikua out, ila kuna uzio na wapangaji ni wawili tu tunaoshare bafu, nikaona sio kesi twen’zetu. Aliniogesha that day, then alivonitakatisha, kaanza kuosha rombo kwa mdomo wake. It felt so good. Kiufupi cha kwanza nilikiachia mdomoni kwake, na wala hakuhangaika kutema……….

Mechi kamili ilipigwa ndani. Mpaka tunamaliza ni jioni kigiza kinaingia. Nlikua nmemuandalia zawadi ya hela. Nlijua anaenda shule so nikawa nimemuwekea laki moja katikati ya kadi ya ‘thank you’, nikamwambia asifungue mpaka kesho akiwa kwenye basi, akapromise atafanya hivyo. Wakati namsindikiza akaniambia ameniachia pia zawadi chini ya sahani kwenye stuli ya sebuleni, nikirudi nikaicheki. Nakumbuka nimemsindikiza hadi kituoni, nikaona haitoshi, nikapanda nae gari hadi ubungo pale tanesko ndo kituo kilikuepo. Nikampandisha gari za tabata, nikaona haitoshi na mimi nikazama. Kiufupi nlimsindikiza hadi nje ya nyumba yao that day.

Nlivorudi direct kwenye zawadi. Kufunua sahani, nakutana na hela. Elfu hamsini za noti. I just smilled. Nikaona ameandika na ujumbe, anasema “this is to show you that, I always got your back. So no matter what, please don’t give up on me….. I love you”.



Ahadi ya kuiendeleza kesho ipo palepale. Hii ni bonus tu kwa waliomiss wiki nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KigaKoyo akili zako zimezidiwa na maumbile yako, ulikuwa hutafakari mustakbala wa maisha wala huhifadhi mila, desturi na kanuni za mahusiano baina yako na wanaokupenda, uliishi maisha yako kwa muda wako, ulienjoy sana hongera zako una hadithi zenye kusisimua mioyo na kufikirisha akili, ulikuwa kijana uliyetumia ujana wako kadri uwezavyo dahhh. NAJIFUNZA kupitia stori hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salute sana mkuu
 
Honestly,nimegonga 'like' hata kabla ya kusoma story! good.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…