How I Met My Wife

Mkuu asante kwa story nzuri,binafsi nimekuwa teja wa hii stori naomba ikiwezekana tupia hata ktkt ya wiki maana naona jmosi mbali sana.
Shukrani pia zimuendee mzee wetu JBourne55 kwa kuunganisha uzi na kuturahisishia usomaji.
Bila kumsahau Rikiboy kwa uzi wake umeibua stori nyingi zinazogusa na kusisimua kama hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu ya mwanamke, Ila umemaliza vibaya,,, eti Yanga [emoji3525]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Hoyeeeeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga baba lao.......
Nasra umlimla kimasihara mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KigaKoyo brother, Si tukulipe tu hizi nauli? Maana you taking us places mzee. Ni kama nimekaaaga Dodoma, then nkaamiaga Kimara, nikawa na misele ya IFM at some point. Na hapa najiandaa kusepa zangu kwa malkia huko. Lakini uhalisia nikiamka asubuhi niko zangu hapa stand ya Tandahimba.

You are a blessed storyteller. Asante.

Shukrani pia zimuendee mwamba rikiboy popote alipo, uzi wake wa "Kufinya kimasihara" umechokoza yote haya.

A film by JBourne59

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu na wewe ukuje na yako maana mnaanza kuendana na kiga.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeitika boss. Nashukuru. Hamna binadam ambaye hapendi sifa, so mnavyonisifia napata mzuka kinoma hahahaha. Ingawa naheshimu sana pia wanaoona mapungufu na kunikosoa. Again, shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiga hebu kitolee kitabu hii story ntakuwa nahitaji copy moja,nahtaji kwny library yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…