Nitajuaje kama ananipenda?mpenzi wangu kila leo yu busy hata iwe kipindi cha holiday ukimpigia simu atakupa sababu mara ntakuchek mida,mara nipo kwenye kikao,mara nipo busy mara nyingi huwa naelewa lakini amezidi kwani anaweza kukuahidi atakuchek mida na asifanye kama alivyo ahidi,je huyu mtu ni mkweli au?naomba msaada wenu jamani....
THANX