How kan i know.....

Oooooop

Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
10
Reaction score
1
Nitajuaje kama ananipenda?mpenzi wangu kila leo yu busy hata iwe kipindi cha holiday ukimpigia simu atakupa sababu mara ntakuchek mida,mara nipo kwenye kikao,mara nipo busy mara nyingi huwa naelewa lakini amezidi kwani anaweza kukuahidi atakuchek mida na asifanye kama alivyo ahidi,je huyu mtu ni mkweli au?naomba msaada wenu jamani....

THANX
 
akufukuzaye hakuambii toka!! sasa unangoja nini???????

kama mwana dada fungasha virago vyako utizame mbele kwa kujiamini, nyuma kwa tahadhari na ulipo kwa matumaini ya kupata mwingine.
 
daaahh jamani wewe
kweli dada labda yuko busy
mmhhh ka kweli we wampenda
tuliza boli kidoncho basi khaaaaaa...

labda nawe unamsumbua
kupita kiasi wampigia 24/7
ndo maana anakuchunia hata holiday..
usimpapatikie sana kuwa mwanaume ..

ukimpigia akisema yuko busy we sema "that's ok my lady"
sio walia kwenye simu mmmhh hapo u busy utazidi..


huwezi sema hanipendi au simpendi
sababau alisahau kunipigia simu
khaaaa huo ni upendo au mchezo wa kimama mamaaaa..

relax, chill, set back and take a deeeep breath for now...

hit me later
chaooo
 
yan hapo kata mawasiliano fasta na mm nlikuwa na mtu type hyo nkakata mawasiliano ss akikutana na ndugu zangu anawaambia mh siku ndugu yenu ypo busy nawakati yy alianza sasa mm namalizia si alikuwa busy hyo mteme hana issue
 
atanteeee kwa ushauri wenu ntaufanyia kazi to all lolz>>>.@daughter no nacheza karata tu......
 
atanteeee kwa ushauri wenu ntaufanyia kazi to all lolz>>>.@daughter no nacheza karata tu......
Usisahau kutuletea feedback
Naomba unijibu swali langu hapo juu Ooooop
 
atanteeee kwa ushauri wenu ntaufanyia kazi to all lolz>>>.@daughter no nacheza karata tu......

khaaaaa
ndo nini kukimbia haraka hivyo..
mmmhh mimi sijaridhika na majibu ..
kwa hiyo naomba uendeleze thread

kwani ukiuliza kitu hapa unasaidia na wengine
ambao wanaona aibu kuuliza, au majirani wanaoingia
na kusoma lakini hawawezi changia sababu sio member..
kwa hiyo ukianzisha thread ni kwa ajili yako , ndugu zako (wana JF)
marafiki zako, maadui na wageni...

sante ndo hayo tu..
usinichukieeeee
maana nta nuna sana..mmmhh
 
usijaari pamoja sana @afro...

my dear ngoja nikufundishe
kitu kidonchoooo tuuu

ukitaka kumreplay ntu na unataka poster yake iwe juu yako
angalia mkono wa kulia mstari wa mwisho utaoana " Reply With Quote"
bonyeza hapohalafu andika chini ya maneno ya huyo unae mjibu ..
mmhhhh Ivunga alinifundisha kwa hiyo nakukabidhi uridhi...
lala salamaa aee..
 
ok thax wng
 
Nadhani huyo rafikiyo bado hajaonesha kuwa anakupenda kwani kama anakupenda kwa dhati angekutafutia muda muonane na kushare mambo ya msingi katika mahusiano yenu. bado una nafasi ya kuendelea kumchunguza kama kweli anakupenda.
 
Kama yuko busy kila wakati......kaa mbali nae na mpe muda wa kufanya mambo yake kama miezi miwili hivi,asipobadilika muage na mtakie heri, tulia na ujenge mahusiano mengine....endelea na maisha yako....ubize waweza endelea kwa miaka mitano...umri unaenda.....:yawn::yawn:
 


Huwezi kujua kama anakupenda. Shukuru Mungu yuko busy, msaada hapo ni wewe pia kuwa busy.

Kama wako ni wako tu, na kama si wako hata asipokuwa busy na kutimiza miadi, bado si wako atapeperuka anytime 't'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…